Duh kwa hiyo hiyo niliyoisikia Mlimani City ilikuwa inahusiana na mambo kama haya? nani aliwapa kibali cha kufanya hivi vitu?Kwa kuongezea tu:
LGBT or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Kwa kuongezea tu:
LGBT or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Midomo ya "Watanzania" kwa kulonga ni HATARI.Tuna vipaji sana vya CHUKI,UMBEYA,MAJUNGU,UVIVU etc.Tunalazimisha mtu fulani AISHI KAMA TUNAVYOISHI SISI(Maana ndo tunaamini ni sahihi)lakini siyo sisi kuwa kama wao. "Ukiwa masikini unahangaika utaambiwa HUWEZI Kutoka hata siku moja.Ukitoka utaambiwa UTASHUKA tu maana kuna watu walishuka na wewe ulishuka,Ukikomaa kutoshuka utaambiwa hata UWE MAARUFU na TAJIRI_UTAKUFA TU.Binafsi huwa nashindwa kujua maisha ya watu wengine tena hayana athari kwako yanakuchukizaje.Where do you get time to hate somebody?Kwa kuongezea tu:
LGBT or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Midomo ya "Watanzania" kwa kulonga ni HATARI.Tuna vipaji sana vya CHUKI,UMBEYA,MAJUNGU,UVIVU etc.Tunalazimisha mtu fulani AISHI KAMA TUNAVYOISHI SISI(Maana ndo tunaamini ni sahihi)lakini siyo sisi kuwa kama wao. "Ukiwa masikini unahangaika utaambiwa HUWEZI Kutoka hata siku moja.Ukitoka utaambiwa UTASHUKA tu maana kuna watu walishuka na wewe ulishuka,Ukikomaa kutoshuka utaambiwa hata UWE MAARUFU na TAJIRI_UTAKUFA TU.Binafsi huwa nashindwa kujua maisha ya watu wengine tena hayana athari kwako yanakuchukizaje.Where do you get time to hate somebody?
kumbe huyu zari ni mahroun firauni kiasi hichi
Duh kwa hiyo hiyo niliyoisikia Mlimani City ilikuwa inahusiana na mambo kama haya? nani aliwapa kibali cha kufanya hivi vitu?
Kwa kuongezea tu:
LGBT or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Nisome tena:
By FaizaFoxy
Siioni sababu ya wewe kuja na povu kiasi hicho.
Naona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, au na wewe ni walewale?
Nisome tena, mimi nime define tu maana ya LGBT nnauhakika si wengi wanaoelewa maana yake:
By FaizaFoxy
Kwa kuongezea tu:
LGBT or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Hii ni kwa wale walio hudhuria white party mlimani city, nikaona si Mbaya kuwapa hii habari ya historia fupi ya white party ..
=======
The White Party is the name of a number of circuit parties held annually, catering to the LGBT communities. Its name comes from the requirement that party-goers dress in all or almost all white. White Parties have taken place in Miami, New York City, Chicago, Illinois, Huntsville, Alabama, Fayetteville, Arkansas, Fort Lauderdale, Florida; Palm Springs, California; Salt Lake City, Utah; Los Feliz, California; and Montreal, Quebec, although the events are independent of each other.
In the gay community, the White Party is what is known as a circuit party, and it is just one of a hundred such events that take place around the country (and hundreds more around the globe) all year-round. There is also the Black Party in New York, the Black & Blue Festival in Montreal, Mardi Gras in Sydney, the White Party and the Winter Party in Miami, or One Mighty Weekend / GayDayS in Orlando.
Source: Wikipedia
White Party - Wikipedia, the free encyclopedia
NB: Vya kuiga vibaya jamani!