White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

Kweli sipati picha siku ambayo marekani watatoka hapo kileleni mwa uchumi na kukaahapo wengine, cjui ndo itakuwa mwisho wa hizi chuki zao?
 
Nso huo ujuaji umeuona, Bush junia

Kwani hata kama wewe ungezaliwa 84+ si mambo ni hayo hayo? tena anaweza akawa ana ujuaji wa hayo mambo zaidi yako wewe wa zamani
 
Asante kwa ku-edt post yako ya awali, sasa iko sawa.

 
mkuu unamwona castro lakini nyuma yake kuna Russia mkuu, hapa ndipo ugomvi wa kinyuklia na vita baridi uliponukia na kuhatarisha uwepo wa vita ya dunia ya 3. hii ni more complicated. thats why castro na mdogo wake raul wameshindwa kung'atuka madarakani ili kupisha uchaguzi wa kidemokrasia mpaka leo.
 

nakuunga mukono.
 

Wanafiki hao!
 


Umeandika vizuri sana. Hypocrisy at it's best!
 
pengine wamarekani hawataki, je Castro naye anataka kushikana mkono na wamarekani?:tape:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…