Republicans ni watu wa ajabu sana. Naona sasa wanapita mipaka na kuingia kwenye siasa za kishabiki badala ya "pragmatic politics". Ni wazi sasa wao wanapinga chochote kile Obama anachofanya, hata kama ni kizuri.
Jana wakati wa msiba wa Mandela Obama alishikana mkono na Castro katika kuonyesha kwamba yuko tayari kusahau yaliyopita na kuganga yajayo, hasa katika spirit ya "Ubuntu" (ubinadamu) ya Mandela. Sasa Republicans wamekuja juu wakisema alichofanya Obama ni sawa na na kujaribu kuwafurahisha Manazi wa zamani wa Ujerumani.
Ikumbukwe kwamba Republicans, chini ya Bush junior, waliishauri serikali ya Makaburu wa Sourth Afrika isimwachie huru Mandela mwaka 1990.
Republicans were left steaming on Tuesday after President Barack Obama shook the hand of Cuban leader Raul Castro, with one senior lawmaker likening the act to appeasement of the Nazis
"It gives Raul some propaganda, to continue to prop up his dictatorial, brutal regime, that's all," said Senator John McCain, who lost against Obama in his 2008 bid for the White House. "It was a mistake to "shake hands with somebody who is keeping Americans in prison"
Senate Republican James Inhofe said the handshake was "not appropriate".
Congresswoman Ileana Ros-Lehtinen "sometimes a handshake is just a handshake, but when the leader of the free world shakes the bloody hand of a ruthless dictator like Raul Castro, it becomes a propaganda coup for the tyrant"
Hey Republicans, ubuntu madoda, ubuntu!
Source: Africa Press Review