White Economic Migrants in Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

White Economic Migrants in Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mekatilili, Feb 29, 2012.

 1. Mekatilili

  Mekatilili JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,113
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  There is a new trend in Kenya, illegal white immigrants in Kenya who come to the country for better job prospects. Europe has been hit by an economic crisis and high unemployment rates. Many Europeans, the lost generation, are now immigrating into countries like Kenya and South Africa looking for brighter prospects. They are called the1000-Euro generation, i.e. the generation of European graduates, particularly in Southern Europe, trying to find work in tough economic times and often settling for “low paying jobs” earning 1000 EUR per month. 1000 EUR might be a lot of money in Kenya but in Europe, with the high living standards, it’s peanuts. So many opt for Kenya where they typically earn over 1500EUR per month doing jobs such as journalism, non profit work, grant writing, ‘missionary work’ etc. To navigate Kenya’s tough laws on expatriates, they use various methods including the paying of bribes to immigration officials to secure work permits.
  This is a very interesting and ironic twist to the question of international immigration. While many Kenyans and Africans are struggling to get to Europe for “brighter” prospects, many Europeans are trying to get to Kenya for even brighter prospects.......
  SOURCE
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Its all good,historically immigration is a good thing,hope wangeenda na TZ may be wangepeleka na culture yao ya hard work & kusaidia wabongo kuacha kuacha longolongo
   
 3. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Koba,

  What is wrong with you guyz? Why you are so obssessed with Tanzania? It seems a sentence can't be complete without bashing Tanzania. Frankly speaking, it is so annoying and it shows how myopic you are.
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Aisee Rufiji acha kupoteza muda wako na hawa jamaa. Kuna kitu kimepungua/-legea kwenye bongo zao. Ingefaa wajue pia kutawaliwa na wakoloni kulianza hivi hivi. Mara ya mwisho walianza kuja kama waenezaji wa dini na biblia mkononi na waafrica punguani wakawasheherekea. Wakenya wengi bado wamejawa kasumba ya muzungu. Ni watu wa kuwasikitikia na kuwaacha waendelee "kujigamba" wakati wanaliwa. Kasumba ni sawa na ugonjwa sugu. Waswahili husema debe tupu haliachi kutika!
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona kwa mtindo huu future ya Europe iko mashakani? Maana kwanza average population inazidi kuzeeka, na familia hazitaki kuzaa. Sasa kama tena ile scarce active force itakuja Afrika kutafuta kazi sijui itakuaje kule kwao in 100 years...
   
 6. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mwali huu uongo hao wakenya ni afadhali wajidanganye wenyewe maana yake kama wangejua hao wazungu wanaowaonaje wakenya wasingependa kusema hayo wasemayo. Tatizo la wakenya ni kufikiria kwamba wazungu wanaowaona ni watu wa maana kuliko waafrica wengine. Huu ni upuuzi wa hali ya juu!
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kenya could be the first EAC country to reach Middle Income status by2020.
  Right now in Nairobi a group of young people are meeting for a Startup Weedend Nairobi. These young aspiring entrepreneurs will put together companies that will produce new jobs and streams of income.
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  And so? Middle income status measured by which yardstick? Why are some Africans having such a low self esteem?
   
 9. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nimerejea jioni hii kutoka Nairobi.
  Ktk mazungumzo yangu na Wakenya na hata kwa kushuhudia kwa macho yangu,nimefikia hitimisho kuwa wenzetu hawa wapo mbali mno kimaendeleo kulinganisha na sisi.Huu ni ukweli mchungu hata kama Watanzania hawapendi kuusikia.
  Sasa wanapambana kuondoa ukabila na taratibu mafanikio yanapatikana.
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kenya wasisahau kuwa jk ndio kichwa wao!ha ha ha
   
 11. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  1.Wakenya wanafanya kazi kwa bidii na wanatumia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazojitokeza kujiongezea kipato..
  2.wananchi wake wanashiriki kwa kiwango kinachoridhisha ktk masuala ya kisiasa ambayo ndiyo baadaye huamua muelekeo wa sekta zingine.
  3.wengi wao wanafahamu kiingerza (hata hivyo hiki sio kigezo cha usomi ama maendeleo)..lugha hii inawasaidia kuingiliana kiurahisi na wageni na ktk harakati za kusaka maarifa ktk vyanzo mbalimbali.
  Pamoja na hayo ,bado wanasumbuliwa na tatizo la ubinafsi ambalo msingi wake ni ubepari kama mfumo uchumi wanaotumia.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  mzungu gani aje Kenya kutafuta kazi ? may be mnaongelea watu kutoka krigizia ,azebaijani etc..nchi ambazo zimechoka
   
 13. M

  Mumbai Son Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1500 EUR per month is nothing. Indians make twice that or even more per month in East Africa. We need to teach these Europeans about how to make money in East Africa. There is plenty of money to go around.
   
 14. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  We actually need that influx of europeans becasue they have skills they can export from their countries and implement here in East Africa. for me I am for the Idea 100%. It seems tides are turning backwards.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa!!!!

  Hivi unajua skills export ni kitu gani?
  Yani a bunch of unexperienced Muzunguz wakija kufanya 1,000 Euro jobs (kazi za kwenye NGO and the likes), ambazo hazihitaji utaalamu wowote wa maana, kwanza ni kazi zinazotakiwa kufanywa na vijana fresh from school, wewe unaita skills export?

  Are you insane?

  Na ukisema the tide is turning backwards..............yani kwamba enzi za kukimbilia Ulaya kwa ajili ya maisha mazuri, - kwenda kupika mandazi na kufagia....sasa wao wanakuja kuchukua 1,000 Euro jobs nyumbani kwako na unachekelea?

  Hovyo kweli kweli!!
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  What about our own graduates who are unemployed kwa sasa? huoni kama kutakua na competiion zaidi kupate the scarce available jobs?
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Msamehe bure. this is typical kenyan mindset- Kulamba miguu ya wahindi na wazungu
   
 18. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Corrupt Indians as usual. Bribing and getting a tender, we are talking legimate means, not the other of yours.
   
 19. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  @RussianRoulette, The reason I am saying that ni kwa sababu we are and always be non-staters. Hata na uhuru tulio nao wakati huu, na viongozi wa asili yetu katika makampuni, we still have several disparities kama ukabila katika kusajili wafanyi kazi. And BTW I did not mean ya kwamba waje na wa displace waafrika, no, I meant waje waongezee their skills and impart what they know in employment cirlces or business. So, I know this may shock you, we even need Indians of great Skills probably that will add to the productivity of an economy.

  Kama wengi wetu waafrika wameweza kuenda huko (ulaya) kusoma na kufanya kazi na biashara, na kurudi hapa Afrika na kuongezea utaaluma, kwa nini nasi tusifungue milango zetu? Partly why our ecomomies have steadily grown ni kwasababu wengi tumeeza kuiga yale wanaofanya kule kwao, so, why not open our doors for them pia? let us not be so over-zealous about our identity and ambitions to the extend that it consumes us, kama vile tunaona watu hapa kwenye hii thread wanajaribu kujadili about europeans na wahindi. Such will only lead to frustrations and more kushutumiana kusiko na maana.
   
 20. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Do not be short sighted, the fact that wamekuja humu ni kwa sababu uchumi wao umenosedive- hivyo sioni ubaya. Hata wasipokuja hapa kwetu EA bado kuna wengi waafrika hawapati nafasi za kazi ukabila reason kubwa. Tena, ukizingatia umati unaotafuta kazi hiyo kwa winig is basically because wamesomea taaluma fulani lakini due to economic pressure, kazi hazimo. No dumb man who has no taaluma atajisumbua kuweka matumaini yake kutafuta kazi. Waafrika its a pity when we go there (ulaya) tunalia kuhusu human rights na racial abuse and discrimination to the top of our voices punde tu tume kosewa. But an African because tuko @ homesoil and work a cool 9-5 and aka salary, tunajiona tuko juu sana. Africa we have hearts like rocks ndiposa pengine everywhere we go tunalaliwa mara kunyanyaswa. Let us @least tuwe na open mind. While tunaweza kubali kuna mengi inahusiana nao ukizingatia historia yao na bara la Afrika, tujaribu tupige hatua from such mindsets. Nimesoma nakala za wengi hapa watz na wana sema such mindsets ndiyo inafanya uchumi wa tanzania kujikokota hata kupitwa na Rwanda.
   
Loading...