White Economic Migrants in Kenya

1.Wakenya wanafanya kazi kwa bidii na wanatumia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazojitokeza kujiongezea kipato..
2.wananchi wake wanashiriki kwa kiwango kinachoridhisha ktk masuala ya kisiasa ambayo ndiyo baadaye huamua muelekeo wa sekta zingine.
3.wengi wao wanafahamu kiingerza (hata hivyo hiki sio kigezo cha usomi ama maendeleo)..lugha hii inawasaidia kuingiliana kiurahisi na wageni na ktk harakati za kusaka maarifa ktk vyanzo mbalimbali.
Pamoja na hayo ,bado wanasumbuliwa na tatizo la ubinafsi ambalo msingi wake ni ubepari kama mfumo uchumi wanaotumia.

Nakubaliana zaidi na point yako no. 2. Naamini kuwa Watanzania ni wachapakazi kama watu wengine. Walichokosa ni nafasi ya kushiriki kikamilifu katika kufanya maamuzi muhimu katika maisha yao. Pindi nafasi hiyo itakapopatikana kutokana na uongozi bora, nao pia watashindana na watu popote pale duniani.
 
There is a new trend in Kenya, illegal white immigrants in Kenya who come to the country for better job prospects. Europe has been hit by an economic crisis and high unemployment rates. Many Europeans, the lost generation, are now immigrating into countries like Kenya and South Africa looking for brighter prospects. They are called the1000-Euro generation, i.e. the generation of European graduates, particularly in Southern Europe, trying to find work in tough economic times and often settling for “low paying jobs” earning 1000 EUR per month. 1000 EUR might be a lot of money in Kenya but in Europe, with the high living standards, it’s peanuts. So many opt for Kenya where they typically earn over 1500EUR per month doing jobs such as journalism, non profit work, grant writing, ‘missionary work’ etc. To navigate Kenya’s tough laws on expatriates, they use various methods including the paying of bribes to immigration officials to secure work permits.
This is a very interesting and ironic twist to the question of international immigration. While many Kenyans and Africans are struggling to get to Europe for “brighter” prospects, many Europeans are trying to get to Kenya for even brighter prospects.......
SOURCE

Wapo na Arusha pia - average pay ya pilot wa caravan (12-seater) ambazo ni favourate kwa charter companies ni USD 2000 kwa mwezi. Wanapanga nyumba maeneo ya Ngaramtoni, Sakina, Mianzini, Kwa Ngulelo hadi Usa River na maeneo ya Masai Camp. Tunakula nao mbuzi choma QX, 2y na AICC Kijenge Club.
 
We actually need that influx of europeans becasue they have skills they can export from their countries and implement here in East Africa. for me I am for the Idea 100%. It seems tides are turning backwards.
...plus the influx of somalians with their support from al shabab,who dominate the matatu busness at large part around nairobi.now be prepared to be bombed out in a matatu by al shabab suicider.ha ha ha ha imekula kwenu wa "kinyaa".
 
Nimerejea jioni hii kutoka Nairobi.
Ktk mazungumzo yangu na Wakenya na hata kwa kushuhudia kwa macho yangu,nimefikia hitimisho kuwa wenzetu hawa wapo mbali mno kimaendeleo kulinganisha na sisi.Huu ni ukweli mchungu hata kama Watanzania hawapendi kuusikia.
Sasa wanapambana kuondoa ukabila na taratibu mafanikio yanapatikana.

Ukabila unaondolewa kivipi? Tufafanulie mkuu.
Haya mafanikio yaliyopatikana ni yepi? Fafanua usemi huu ili tukuelewe.

Kuna thread hapa ya Mombasa republic...Pwani si Kenya. Je huu ni ukabila au utaifa? Au ndio mafanikio yenyewe?

Kenya imejiingiza mzozo wa Somalia na bado wanapiga hatua kubwa za kimaendeleo? Fedha za kununulia vifaa vya vita na fedha ya kupigana vita "wanamiminiwa" kutoka wapi?
 
We actually need that influx of europeans becasue they have skills they can export from their countries and implement here in East Africa. for me I am for the Idea 100%. It seems tides are turning backwards.
Do you think they come to help you/ us? They just come to help themselves, bro!
Inaitwa Recolonization. It can be in another form but muzungu is not here to kiss the ....... of a negro, they are back to kick it harder. Hata uraia watachukua kama hilo litawasaidia" kujitanua".
 
Ukabila unaondolewa kivipi? Tufafanulie mkuu.
Haya mafanikio yaliyopatikana ni yepi? Fafanua usemi huu ili tukuelewe.

Kuna thread hapa ya Mombasa republic...Pwani si Kenya. Je huu ni ukabila au utaifa? Au ndio mafanikio yenyewe?

Kenya imejiingiza mzozo wa Somalia na bado wanapiga hatua kubwa za kimaendeleo? Fedha za kununulia vifaa vya vita na fedha ya kupigana vita "wanamiminiwa" kutoka wapi?
Kwa kutambua kuwa awamu ya Mzee Kenyata na Moi zilipalilia ukabila kwa kutumia udhaifu wa kikatiba ,sasa katiba mpya inatoa angalau sehemu ya jawabu kwa ku-embrace mfumo wa decentralization by devolution (kupeleka mamlaka kwa wananchi ktk ngazi ya jimbo kama ilivyo Marekani,huku mfumo wake ukihusisha county assemblies (ama Senate) ,county executive commitee,na county public service.
Ktk ngazi ya taifa kuna National Assembly(wawakilishi 290 kutoka majimboni) that among other functionns,approves appointments made by the president.Kisha kuna senate linaloshirikisha counties lenye wawakilishi 88 likiwakilisha maslahi wa counties and their goverments.
Aidha imewekwa wazi kuwa "the public service must offer equal oppurtunities for appointment,training and advancement at all levells of the public service,of men and women,the members of ethenic groups..."
Kadhalika, katiba imetamka bayana kuwa kiswahili ni lugha ya taifa la Kenya na sasa taratibu wanaanza kuacha kuzungumza kikabila na kupunguza kiingereza .Ni dhahiri,sasa,yote haya pamoja na mambo mengine,yanachangia kupunguza hisia za ukabila na hii ndio sababu,hapo awali, nilisema Kenya inapata maendeleo kwa kasi maana sasa inao utulivu unaovutia wawekezaji na unaowafanya wanachi wajihusishe ktk shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.
 
And that's why you deem it fit to name yourself ketav ashurit.

Guys like you I will raise an issue with the supermods bcasue tone yenu na akina bantugbro are not healthy for a serious debate. mwanzo your aims ni kuleta taharuki kwenye mathreads mpaka zinafungwa na akina XPASTER. i think what you as a tanzanian is suffering from is identity crisis which does not really approve for the acrimonious zeal that you are trying to exzibit. I would really like you to emulate akina Nonda and the way they put their posts. Mkuu, hakuna haja indicate 5.0 posts per day index, and yet unzungumza upuzi mtupu which degenerates into cynicsm.
 
Do you think they come to help you/ us? They just come to help themselves, bro!
Inaitwa Recolonization. It can be in another form but muzungu is not here to kiss the ....... of a negro, they are back to kick it harder. Hata uraia watachukua kama hilo litawasaidia" kujitanua".

No, I believe then they had their own constitution while they are colonizing us, but now we have a new one made 4 kenyans by kenyans, unless a silly kenyan aingie na aanze kusaliti katiba yake.
 
Guys like you I will raise an issue with the supermods bcasue tone yenu na akina bantugbro are not healthy for a serious debate. mwanzo your aims ni kuleta taharuki kwenye mathreads mpaka zinafungwa na akina XPASTER. i think what you as a tanzanian is suffering from is identity crisis which does not really approve for the acrimonious zeal that you are trying to exzibit. I would really like you to emulate akina Nonda and the way they put their posts. Mkuu, hakuna haja indicate 5.0 posts per day index, and yet unzungumza upuzi mtupu which degenerates into cynicsm.
...as a Tanzanian? What's wrong with you? What kind of language are you using? Aisee acha kujifanya unajua wakati ukweli ni kwamba hujui kitu!
 
What about our own graduates who are unemployed kwa sasa? huoni kama kutakua na competiion zaidi kupate the scarce available jobs?

Your graduates are useless because many have poor work ethic and don't have critical thinking skills. In other countries university students work and go to school and this teaches them work ethic. Also schools in East Africa emphasize rot memorization style of learning instead of critical thinking needed in the modern work force. European schools are different in that sense, so are Indian schools in that sense. That's why European, Indian workers are so attractive to employers.
 
Koba,

What is wrong with you guyz? Why you are so obssessed with Tanzania? It seems a sentence can't be complete without bashing Tanzania. Frankly speaking, it is so annoying and it shows how myopic you are.

But it is true majority of Tanzanians are lazy,ratty and crabby. Progress cannot come from such people.
 
Back
Top Bottom