OnlineFinancial
Senior Member
- Aug 23, 2017
- 117
- 97
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Je kati ya Laravel na django ipi iko powerful? which one is marketable hasa kwa mazingira ya Tanzania/africa?
Je naweza kutumia Laravel kama backend framewok kwenye Wordpress powered website?