Which mask will you choose ?

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
Wengi wetu tumeshacheki muvi nyingi za kampuni ya marvel...kama avengers,captain america, n.k sasa ukiambiwa uchague,utachagua mask gani unayoikubali hapo ?
 
Hii misinema ya watu wanavaa hii midude kichwani mi ndo huwa siielewi kabisaaaa, jana nilikuwa naangalia antman nikaona upuuzi nikaachana nayo, yaani ma muvi ya wavaa maski naona ni ya watoto zaidi.
 
Usichukulie serious kihivoo ni movie tu angalia kujifurahisha...au kama vipi kamuangalie irene uwoya bas
 
Irene uwoyo ndo nani tafadhali? naeza enda mwangalia wapi? weka picha yake basi tumjue na sisi.
 
Mzee usitake kujitoa ufahamu na wewe kama yule kichaa!
kwahiyo unafikiri kila mwana JF yupo bongo na anafatilia mambo yenu ya kibongobongo?. Ila poa ngoja yaishe tu maana unanilazimishia kupenda hiyo mi mask
 
Hii misinema ya watu wanavaa hii midude kichwani mi ndo huwa siielewi kabisaaaa, jana nilikuwa naangalia antman nikaona upuuzi nikaachana nayo, yaani ma muvi ya wavaa maski naona ni ya watoto zaidi.
You know nothing about comic movies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…