kwa bei hio go used tafuta simu yoyote yenye snapdragon 800, 801 au 805 unaweza ukapata hizi ni baadhi ya simu ambazo unapata used au sometime mpya kwa hio bei
-lg g2 version yoyote
-galaxy s4 version ya sd 800 gt i9506 usinunue s4 nyengine tofauti na hii
-xperia z1
hizo lg g2 mpya zake zinapatikana around 350,000 kama utaongeza hela kidogo.
pia kuna xiaomi redmi note 3 yenye snapdragon 650 hii ni nzuri kushinda hizo hapo juu lakini upatikanaji wake ni mgumu, kuna kesi kenya ya xiaomi kutumia jina mi siku yoyote ikiisha zitaanza kuingia mtaaani bei yake ni around dola 150 (330,000)