PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Tafuta mtu ambae atakua kweli mumeo ndio utaona utam wa ndoa,ukipata kimeo umeliwa dadaa!!
Tatizo unaweza ukatafuta weeee na usipate. Sasa usipopata ufanyeje? Settle for less? No way Jose....I'd rather stay single and mingle whenever I want to....
Ukiwa na subira unapata tu! wapo wengi tu
kuna kitu nimejifunza kwenye maelezo yako, ila unajua maisha hata mimi ambayo nayapenda ni kuishi single maana sipati bughudha ya mtu yeyote, nipo very free, lakini pia sometimes unafeel lonel flan hivi kama unahitaji kuwa na mtu vile.Dada, asikudanganye mtu. Being single is the best. I'm not saying it is problem or stress free but compared to being married..ooh heck no. I'll take single life anyday.
So live your life Miss Lady.
kuna kitu nimejifunza kwenye maelezo yako, ila unajua maisha hata mimi ambayo nayapenda ni kuishi single maana sipati bughudha ya mtu yeyote, nipo very free, lakini pia sometimes unafeel lonel flan hivi kama unahitaji kuwa na mtu vile.
ila kwa maisha ya single magonjwa nayo ndo hayatakuchelewesha kukuharibia future yako. then ukajikuta looser kote kote na maanisha maisha ya ndoa utayakosa na pia huo ufree utaukosa, cha msingi ni kukaza moyo tu
kuna kitu nimejifunza kwenye maelezo yako, ila unajua maisha hata mimi ambayo nayapenda ni kuishi single maana sipati bughudha ya mtu yeyote, nipo very free, lakini pia sometimes unafeel lonel flan hivi kama unahitaji kuwa na mtu vile.
Mbona unaweza ukawa na rafiki (companion) tu bila kuwa na commitment? Watu kibao siku hizi wana opt hivyo. Hivi inakuwa rahisi hata mkitibuana kila mtu anaanza kivyake...mkikumbukana mnarudiana tena.
Dada, asikudanganye mtu. Being single is the best. I'm not saying it is problem or stress free but compared to being married..ooh heck no. I'll take single life anyday.
So live your life Miss Lady.
Mkuu hujawahi onja tamu ya ndoa. Ukimpata right partner, nakuhakikishia hutajuta kuoa/kuolewa. Am experiencing 10 years of happily marriage. Nakwambia, sijawahi kujuta kuoa, actually huwa najuta kwanini nilichelewa kuoa.
So mtoa mada, mi nakushauri usifikirie zaidi ubaya wa kuolewa, bali jaribu kuangalia na upande mwingine. Omba Mungu umpate right partner, am telling you HUTAJUTA!
See, you are just assuming here without knowing exactly how I arrived at that conclusion. To keep it pithy, been there done that.
Lol! Pole! seems she was not your right Partner. Try again pal, you are missing something, I bet!
I'm in dillema, I don't know which is better.
I'm in dillema, I don't know which is better.