Which Internet Company is Good ?

smak786110

Member
Jan 24, 2008
90
2
Any ideas guys ?
I want something to pay MONTHLY... I hate those paying for MB usage ?

I heard zantel have monthly of 90,000 ?? is it true ?
 
Ya Zantel 90,000 per month, wanadai ni Unlimited lakini nasikia ni 3Gb, sina uhakika.
Zain 100,000 per month nayo iko advertised kama Unlimited, unapata 2Gb.
Voda 95,000 per month unapata 2Gb.
 
Zantel sio UNLIMITED,

Nina package yao ya 10GB nayo huwa inazidi na mwisho wa Mwezi naletewa bill kubwa kweli, almost Tshs 490,000 kila mwezi.

Niliwahi kutumia Benson, nilijuta na sintorudia.

Nimechukua VodaCom pia, ipo kwenye majaribio ya 4months, nimechukua package ya 10GB pia. Uzuri wa VodaCom over Zantel ni kuwa unalipia kadiri unavyotumia packages zote, Zantel hawakupi package hiyo ya 10GB kama huendi Post Paid ambayo nayo lazima uambatanishe na Passport na madude kibao ya identification.

VodaCom iko slow kulinganisha na Zantel, Zain ndo niliitumia kwa wiki mbili tu na kuweka chini modem yao, ovyo tu.

TTCL ni wazuri sana, lakini iwe ni broadband ya ukweli si vile vidude wanavyobebesha watu, tatizo coverage ya TTCL si kwa Dar nzima, maeneo ya Airport hawana mtandao wa internet.

Mengine labda tuendelee kushirikishana, nshajaribu SimbaNet, Raha, AfricaOnline lakini wote hamna kitu! Wana maneno mengi sana ya ushawishi lakini ukishakuwa mteja hawana muda na wewe
 
Ndo maana nikasema wanaadvertise kuwa ni unlimited. Hizo package za 10Gb ni bei gani? Mimi natumia Zain sipati matatizo kusema ukweli, ila natumia simu yangu sio modem yao.
 
Zantel kwa 10GB nimepewa offer kwa 270,000 lakini kama ujuavyo, natumia twice as much kwa mwezi.

VodaCom wameniuzia kwa Tshs 360,000 hiyo 10GB, sijaimaliza lakini speed cha mtoto!

Zain nina Blackberry Bold na internet yao na subscription ni 35,000 kwa mwezi, hizo modem zao internet speed huwezi kabisa ukalinganisha speed (download speed) ya Zantel, kuna wakati Zantel inafikia 260kbps.

Benson Online naona wanatania.

TTCL ni baba lao, upload speed ni nzuri sana kwa TTCL, kuna wakati inafikia 512kbps (upload speed).
 
Hapa naona kama mnazungumzi modem za post paid. Mimi nilinunua modem ya HSDPA USB Stick toka Vodacom kwa TSh 170,000/=, ni pre-paid. Speed sio mbaya sana ila sio kubwa ukilinganisha na TTCL broadband. TTCL MOBILE ni fast ila inakula salio kwa speed ya ajabu. Huo ni uzoefu wangu mdogo. Tuelimishane zaidi.
 
Sisi tunatumia TTCL Broadband sio mbaya na ni wireless tunatumia watu 3 kwa mwezi tunatumia 100,000 mpaka 120,000 ila inategemea na matumizi ya m2.
 
Ya Zantel 90,000 per month, wanadai ni Unlimited lakini nasikia ni 3Gb, sina uhakika.
Zain 100,000 per month nayo iko advertised kama Unlimited, unapata 2Gb.
Voda 95,000 per month unapata 2Gb.

Mkuu, vodacom huduma zao za internet sio per month, ni ndani ya siku 90
 
Wakuu Habari za leo.

Kwa manufaa ya jamii hii let me break it down.
All these Isp's have no download quota. Ingekuwa vizuri kama tungeweza kuiendeleza hili bandiko.

Hotspot

Speed Prices

64kbps $450/-
128kbps $620/-
256kbps 1,350/-
512kbps 2,400/-
1024kbps $4,500/-

BOL *Dedicated

Speed Prices

64kbps $400/-
128kbps $750/-
256kbps 1,050/-
512kbps 2,100/-
1024kbps $4,800/-

Alink Telecom * Dedicated

Speed Prices

64kbps $450/- discount up to $400
128kbps $780/-

WIA * Dedicated

Speed Prices

128kbps $550/-
256kbps $950/-
512kbps $1,850/-
1024kbps $3,250/-

Tuelewane
a. Hizo bei nilizobandika hapo juu ni bei kutokana na utafiti wangu (Early 2009). For current prices, offers and quotations please contact the mentioned companies. Please do your own research before joining up to any of the above ISPs.

b. Prices are exclusive of installation fees, and equipment fees required for the service. (such as Dish , ptp antenna , Ethernet cables, RJ45 connectors , Cisco routers etc) – Each company has its own prices for their equipment.
 
BOL ni uozo mtupu, nilijaribu kujoin eti hawana modem! mpaka nikakata tamaa. Sasa sijui wanafanya biashara gani.

Hizi bei ni maajabu kweli! $4500 ni per month!!? Nimesoma kuwa Comcast wanatoa 50Mbps kwa $99, yaani hizo satelitte ziko expensive kiasi hicho kweli? Au nini kinaendelea hapa?
 
Most people wants more speed and wishes to pay less, that can happen in other countries but never in tz, if you wish to get better speed on ur conn get ready to pay more...

*** i'm connected with BOL and TTCL and my Blackberry with Voda and i must say they suck somehow but no complaints ***
cheers
 
We want to pay a fair price, 4500!? is some B.S. And I think you already complained there my friend:p
 
Ok after some digging nimepata hizi, naona kuna uangalau fulani.
Name of service IP 512 IP 768 IP 1024 Prices $530,00 $730,00 $995,00

Volume limitation 2 GB / month unlimited unlimited Downstream 512.00 kbps 768.00 kbps 1024.00 kbps Downstream CIR for VoIP service 20.00 kbps 30.00 kbps 40.00 kbps Upstream 128.00 kbps 192.00 kbps 256.00 kbps Upstream CIR for VoIP service 5.00 kbps 7.55 kbps 20.00 kbps

Kuna gharma ya kufunga dish lakini.
Link: Satellite Internet for Southern and Central Africa
 
Back
Top Bottom