The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,112
- 115,927
wee hata sio wote wanaokuja tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!
yaani huyo mama yako ningekuwepo ningempa zawadi....
Naona wengine walishangaa,maana wabongo wengine wanaona wazungu kama miungu wadogo lol