Which country in europe has the most beautiful women?

Walatin wenyewe wanakwambia wazuri wako venezuela. Na wazuri wenyewe si wale wa asili ya spain ni wale indigenous au mix.
 
Wa russia ni wazuri sana ndio maana wengi wanaenda US kutafuta wame (kwa kuwa wana market) kukimbia ugumu wa maisha kwao. Niliona documentary moja CNN.

ohh nilipitiwa kidogo!! kaka blonde za ki russia ni wazuri.. alafu katika kale kamchezo ahhhh! utachoka wewe ...
 
Watusifie wapi na wanatuona kama sokwe!!! Aaah. Nimekuaminia.
Ukitaka kuishiwa confidence basi ishi maisha ya kuzungukwa na whites, sijuhi yellow people. Yes kuna exceptions wale wanaokubali kuoa na kuolewa na blacks. Ila ndio unakuta wakwe wanakuona ka nini sijuhi. Kuna dada mmoja mdhungu rafiki yangu kaolewa na mwafrika basi hana siri anatusimulia jinsi ndugu zake wasivyompenda mume wake kisa ni black. Mwanaume mwenyewe si mweusi ana rangi kama ya mkuu wa nchi, angekuwa na rangi ile yenyewe sijuhi ingekuwaje.

Na wanajua ku categorize hao. White, black, coloured, red indians. Mradi tu kujiweka superior. Wanajua maana ya white, yani wao ni kama karatai.

Hivi na nyie mnasifiwa na hao mnaowasifia au basi tu mnajipendekeza?!
 
ya wanawake wa portugal wana kua wakorofi ,, mm nafanya nae kazi mmoja ana jealousy na ana penda kutia fitna aonekane yupo top na hajui english kabisa,, ni kweli portugies wakorofi roho zao mbaya,,
 
Watusifie wapi na wanatuona kama sokwe!!! Aaah. Nimekuaminia.Ukitaka kuishiwa confidence basi ishi maisha ya kuzungukwa na whites, sijuhi yellow people. Yes kuna exceptions wale wanaokubali kuoa na kuolewa na blacks. Ila ndio unakuta wakwe wanakuona ka nini sijuhi. Kuna dada mmoja mdhungu rafiki yangu kaolewa na mwafrika basi hana siri anatusimulia jinsi ndugu zake wasivyompenda mume wake kisa ni blackNa wanajua ku categorize hao. White, black, coloured, red indians. Mradi tu kujiweka superior. Wanajua maana ya white, yani wao ni kama karatai.
Na ndio maana wanazidi kutudharau maana hatuishi kujipendekeza...pamoja na kutuona wanyama we are still kissing their A double S,...what a joke!‘
 
Wanaume je? Kuna wanaume wawili nawajua ila siko nao close. Let me keep distance naogopa sana watu wa roho za korosho.

ya wanawake wa portugal wana kua wakorofi ,, mm nafanya nae kazi mmoja ana jealousy na ana penda kutia fitna aonekane yupo top na hajui english kabisa,, ni kweli portugies wakorofi roho zao mbaya,,
 
Kuna post moja nilisema siwapendi watu wakanijia juu siku hizi niko makini kwani nahisi tuna mashemeji na mawifi whites.

Na ndio maana wanazidi kutudharau maana hatuishi kujipendekeza...pamoja na kutuona wanyama we are still kissing their A double S,...what a joke!'
 
Wanaume je? Kuna wanaume wawili nawajua ila siko nao close. Let me keep distance naogopa sana watu wa roho za korosho.
sifikirii kama kuna ukweli maana fitna ziko kila mahali...unataka kunambia watanzania wote ni wazuri au wakarimu,hiyo ni tabia ya mtu!
 
Watusifie wapi na wanatuona kama sokwe!!! Aaah. Nimekuaminia.
Ukitaka kuishiwa confidence basi ishi maisha ya kuzungukwa na whites, sijuhi yellow people. Yes kuna exceptions wale wanaokubali kuoa na kuolewa na blacks. Ila ndio unakuta wakwe wanakuona ka nini sijuhi. Kuna dada mmoja mdhungu rafiki yangu kaolewa na mwafrika basi hana siri anatusimulia jinsi ndugu zake wasivyompenda mume wake kisa ni black. Mwanaume mwenyewe si mweusi ana rangi kama ya mkuu wa nchi, angekuwa na rangi ile yenyewe sijuhi ingekuwaje.

Na wanajua ku categorize hao. White, black, coloured, red indians. Mradi tu kujiweka superior. Wanajua maana ya white, yani wao ni kama karatai.

Ukiwa black usiwe na wasi wasi juu ya hilo.
Tatizo la wazungu ni pesa, yes pesa.
Ukiwa nazo nyingi watakulamba miguu, whether bkue, black or white.
 
Kuna post moja nilisema siwapendi watu wakanijia juu siku hizi niko makini kwani nahisi tuna mashemeji na mawifi whites.
Binafsi naweza kuwapenda wale nlio nao karibu...hata wengine siwezi kua na matatizo nao mpaka watakapoonyesha dharau!!Mbona wenyewe wana mawifi na mashemeji weusi ila bado hawatutofautishi na nyani?!Its about time waAfrika tuamini na kuaminishana kwamba we are not less of a human just because we have dark skin...na kuwabusu sehemu ambayo wao wangeweza wangetupiga mateke ni upumbavu!!
 
Ku generalize si kutenda haki ila kuna watu wana tabia ya kujikomba through kuchongea wenzao. Mfano wakenya wengi niliokutana nao maishani wamekuwa na ako ka mchezo. wanapenda kuwa close na bosses afu kutwa kuchongea wenzao. But inawezekana ni hao niliokutana nao tu. Kwa hiyo ni vema kuwa alerted kuliko kuchukulia kila mtu poa.

sifikirii kama kuna ukweli maana fitna ziko kila mahali...unataka kunambia watanzania wote ni wazuri au wakarimu,hiyo ni tabia ya mtu!
 
sifikirii kama kuna ukweli maana fitna ziko kila mahali...unataka kunambia watanzania wote ni wazuri au wakarimu,hiyo ni tabia ya

mtu!

wa potugese kwa europe ni watu masikini saana
one of the poorest in europe....

Sasa utaona kuwa umasikini na roho mbaya vinakaribiana saana...
N ndo sababu wabongo wengi pia roho zetu...........
 
ku generalize si kutenda haki ila kuna watu wana tabia ya kujikomba through kuchongea wenzao. Mfano wakenya wengi niliokutana nao maishani wamekuwa na ako ka mchezo. Wanapenda kuwa close na bosses afu kutwa kuchongea wenzao. But inawezekana ni hao niliokutana nao tu. Kwa hiyo ni vema kuwa alerted kuliko kuchukulia kila mtu poa.

wakenya wana kitu unaweza kuita
superiority complex
wanapenda kujiona wao kwa africa ndo wako na akili zaidi na ustaarabu wa ki western zaidi
so wanakuwa na wivu na kutaka ku prove hivyo
 
Mimi nimekaa nao sana ndio maana siwapendi. AM talking through experience. Wanaokuja Tz wanabehave kwani wanakuja gundua we are so kind. Ukiwa kwao hata wale wanaojidai kukuchekea ni wanafiki tu.

Binafsi naweza kuwapenda wale nlio nao karibu...hata wengine siwezi kua na matatizo nao mpaka watakapoonyesha dharau!!Mbona wenyewe wana mawifi na mashemeji weusi ila bado hawatutofautishi na nyani?!Its about time waAfrika tuamini na kuaminishana kwamba we are not less of a human just because we have dark skin...na kuwabusu sehemu ambayo wao wangeweza wangetupiga mateke ni upumbavu!!
 
Na mimi nilitaka kusema labda sababu ya umasikini ila nikasita kwa kuwa mbona sisi ni masikini kuliko wao na bado tuna upendo?

wa potugese kwa europe ni watu masikini saana
one of the poorest in europe....

Sasa utaona kuwa umasikini na roho mbaya vinakaribiana saana...
N ndo sababu wabongo wengi pia roho zetu...........
 
Mimi nimekaa nao sana ndio maana siwapendi. AM talking through experience. Wanaokuja Tz wanabehave kwani wanakuja gundua we are so kind. Ukiwa kwao hata wale wanaojidai kukuchekea ni wanafiki tu.
Wee hata sio wote wanaokuja Tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.Weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!
 
Back
Top Bottom