donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
salaam wakuu, napenda kujuzwa among KGB,CIA,MOSSAD,MI6 etc. ni nchi gani inaongoza kwa intelegensia? na zaman kidogo tulikua tunasikia tetesi eti tanzania nayo ni among nchi zinazotisha ktk swala zima la ukachero. nawasilisha!
