Design Your Idea
Member
- Jun 3, 2024
- 57
- 197
Hahahahaha😂😂😂 sina neno mm
Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc
Taja wengine
Shemeji yako akiona hii comment atacheka sanaa na maji ulisahau kumuwekea bafuni😬😬Monetary doctor zee la mipunga plus mipunga!!
Akili za chizi na akili za Visungura ndio hizi , huoni aibu kusifia ID yako ?Chizi Maarifa ameweza kupata na wake zake Chizi Maarifer na Chizi Msomi inaonesha ni namna gani ni mtaalam wa kushughulikia makebo yao😁