Which African city has the most beautiful skyline?

I never knew Harare is this beautiful looh despite of what Zim is going through
fca7292c369e8d7b7da99f2e0f88f940.jpg
93bbe02f251a957c75e5c1a1062d21b9.jpg
540973cbc914599f94888878ddaa4158.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga kweli!! jorbug ipo mwezini ama africa?
au kwavile sio kenya? Kajinyonge!!
jinga ni wewe ulivyo hapo tu...watu wa kutetewa hawa...bure kabisa! leta zako sio za mwenzio....watu wa kubusu waafrika kusini miguu kana kwamba hamna lenu....mwadhani hatujawatambua..hehe!
 
Nimeipenda sana Cairo, hiyo Accra mbona inazidiwa hata na Mwanza ?

Naomba picha zaidi za Accra na Lagos maana hawa watu wanakelele na sifa nyingi sana.

Mmesahau na za Addis Ababa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom