which 1 is real

Mungu atawalaani matajiri wanaowapokonya maskini kidogo walicho nacho!!
 
Ndio mambo ya dunia hii, ukiwa maskini hata chako kidogo huchukuliwa na tajiri. Naturally pamoja na bahari kuwa na maji mengi mito yote hutiririkia baharini. Ukiwa masikini ukiwa na ng'ombe jike wa kwako atazaa midume tu wakati wa tajiri aliye jirani nawe anazaa majike!
 
kawaida matajir hunyonya maskin. wapo matajir wachache wenye huruma ila wengi n kama hyo picha its show real lyf
 
Thats Life... take care of your stuff budy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…