Ndio mambo ya dunia hii, ukiwa maskini hata chako kidogo huchukuliwa na tajiri. Naturally pamoja na bahari kuwa na maji mengi mito yote hutiririkia baharini. Ukiwa masikini ukiwa na ng'ombe jike wa kwako atazaa midume tu wakati wa tajiri aliye jirani nawe anazaa majike!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.