whether North Africa's street protests will spread south. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

whether North Africa's street protests will spread south.

Discussion in 'International Forum' started by Nonda, Feb 4, 2011.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Fragrant jasmine is the flower of the moment in North Africa.
  The Tunisian government's indifference to the plight of the poor and desperate young led Mohamed Bouazizi to set himself on fire when his vegetables were confiscated because he didn't have a permit to sell them.
  That is a story all Africans got, it is the pettiness of bureaucracies from the Cape to Cairo, the flexing of absolute power over dignity by the ubiquitous police and military who prop up unpopular regimes.
  These are the folk about whom the Nigerian Afrobeat superstar, Fela Kuti, wrote the tune Zombie:
  "Zombie no go go, unless you tell am to go. Zombie no go think, unless you tell am to thinkĀ…"
  The Nigerian singer compared the foot soldiers of his country's military regime in the 1970s to zombies, shells of dead human beings without minds of their own.
  BBC News - African viewpoint: Bread or the ballot?

  Jee wimbi hili la kuziangusha tawala kupitia maandamano lililoanza Afrika kaskazini litafika Kusini?
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ajimwagia petroli na kujipua Send to a friend Friday, 04 February 2011 21:16 0diggsdigg

  Festo Polea

  MKAZI mmoja wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, wamejiua kwa kujiteketeza kwa moto, kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha magumu yanayoambatana na kukabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni.

  Marehemu huyo, Yusuph Msema (40), ameacha waraka ambao ndani yake, amesema madeni yaliyokuwa yakimkabili ni pamoja na aliyokuwa akidaiwa na rafiki zake na ya benki moja ambayo hata hiyo, hakuitaja.

  Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku huko Mbezi Juu.

  Kenyela alisema kabla ya kujichoma moto, Msema alijimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujipulia kwa kutumia kibiriti.

  Kamanda huyo alisema marehemu aliacha ujumbe wa maandishi uliosomekana kama ifuatavyo.

  "Nimejiua kutokana na hali ngumu ya maisha na madeni ninayodaiwa na David Ligomile anayenidai Sh 700,000 na deni kuongezeka hadi kufikia Sh 1,3000,000 na kanichukulia RB."


  Sehemu nyingine ya ujumbe huo ilisema "pia nadaiwa kodi ya nyumba na mwisho wa mkataba ilikuwa 31/01/2011 nilitakiwa nihame."


  Kwa mujibu wa Kenyela, ujumbe huo umedai kuwa sababu nyingine ya Msema kuchukua uamuzi huo, ni kitendo cha ndugu zake kushindwa kumsaidia kumaliza matatizo hayo wakati wana uwezo.

  Kamanda huyo alisema maiti huyo amehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia cha Hospitali ya Mwananaymala, kwa uchunguzi zaidia
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Nathani Tunisia na Misri mambo yalianza hivihivi. Watu wanajiua halafu walio hai wanaandamana. Hizo na ziwe ni salamu kwa Kikwete na CCM yake, tukianza kuuwasha huu moto Tanzania, utakuwa mbaya kuliko unaoendelea nchini Misri.
   
Loading...