subiri kidogo atakuja mi mwenyewe nimemmiss...hata masai dada naye siku hizi kaadimika!
masai dada, Mdau anadai hajakuona siku mbili tatu hivi.
Nani amekuficha miss chagga?
nimejificha mkuu
muda ukifika nitaweka wazi kwa sasa acha kwanza nijipangeeweka wazi mkuu, upo Mwenye rada ujue, huu mwaka unaweza usiishe kabla hatujatangaza nia!!
Mie sijakumiss wewe ila nimemmiss baba yako hadi naumwa.
Baba kapatamchepuko mpya
Uwiiiii utaniua kwa presha wewe mtoto
toto la Kichagga.
muda ukifika nitaweka wazi kwa sasa acha kwanza nijipangee