masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
View attachment 61222
Si wengi wamefika mahali hapa, lakini hii sehemu ambayo ipo obout 2000metres above sea level.
Hapo kuna harufu ya carbon dioxide na traces za carbon moxoxide, watu hawashauriwi kukaa muda mrefu sana hapo kutokana na gases hizo.
Hata leo ukipita utakuta wanyama wadogo waliokufa kwa kukosa hew, ila gesi hiyo sasa inakuwa capped kwa matumizi ya binadamu.
Hapo wapi wakuu?