Where Is My Comrade Kinana

Where Is My Comrade Kinana

Comrade Kinana yupo hapa hapa Mjini na Jumamosi iliyopita tulikuwa nae Ukumbi wa Diamond Jubilee kwny Harusi ya Mtoto wa Dkt Ramadhan Dau , Alhajj Ahmad Dau,na Yeye Kinana ndie alietoa neno la Shukran kwa kutumia Maneno ya Mwana Mwanamuziki wa kizazi kipya Mwana FA 'Asanteni kwa kuja'
 
Magu sio wa kawaida! Kamtoa mzee wa watu kwenye mambo ya kitaifa hadi kuwa anaonekana tuu kwenye harusi?
 
Kinana huonekana 'Machinjioni' na akimaliza huwa haonekani onekani kizembe

Alionekana 1995 kwa ajili ya 'kumchinja' Lyatonga

Akaonekana Mwaka 2000 kumchinja Prof Lipumba

Akaonekana Tena 2005 kumchinja Mbowe

Akaonekana Tena 2010 kumchinja Dkt Slaa

Akaonekana Tena 2015 kumchinja Mstahiki Mzee Ngoyai

Ataonekana Tena Jukwaani 2020 kuchinja 'Kitoweo' mtakacholeta kuchinjwa
 
Aaa wapi! Kinana akionekana tena jukwaani ana mnadi sizonje labda mie sio Chakaza. Msomali kafedheheshwa sana na msukuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom