Israel ilikuwepo tangu kale na haiwezi kuhamishiwa pengine bali itaendelea kuwepo mpaka ikomboe ardhi yake yote, hata sasa kuna waIsrael wengi sana wamesambaa duniani na wataendelea kurudi Israel taratibu. Pale mahali Israel ana maslahi yake na Palestine pia lkn tukibase kny imani pale ni mahali pake pa urithi hivyo hana pengine pakwenda na hakuna wakumwamisha, nakamilisha mambo flani hapa nitarudi
Hivi wangoni, wanaweza kwenda South Africa kudai ardhi, Afrika kusini kwa sababu walifurumushwa na Shaka Zulu?.
Hivi Black Amercans wanaweza kurudi Ghana, na nchi za west Africa wakadai nchi?
WaAustralia warudi Britain wadai nchi?.
Mimi ninadhani pale unapozaliwa ndiyo kwenu, cha kufanya ni kupambana kudai civil rights basi ili uwe raia mwenye haki sawa na wengine!. sasa wewe jiulize utadai vipi ardhi ya miaka 2000 iliyopita wakati hapo katikati vimeshapita vizazi vingi na nchi ishakaliwa na watu wengine?
wangoni hawawezi kurudi huko-maana huku waliko hawapati shida yoyote-wa israel wengi walikuwa wanateswa na kuuliwa kila sehem waliyokuwaHivi wangoni, wanaweza kwenda South Africa kudai ardhi, Afrika kusini kwa sababu walifurumushwa na Shaka Zulu?.
Hivi Black Amercans wanaweza kurudi Ghana, na nchi za west Africa wakadai nchi?
WaAustralia warudi Britain wadai nchi?.
Mimi ninadhani pale unapozaliwa ndiyo kwenu, cha kufanya ni kupambana kudai civil rights basi ili uwe raia mwenye haki sawa na wengine!. sasa wewe jiulize utadai vipi ardhi ya miaka 2000 iliyopita wakati hapo katikati vimeshapita vizazi vingi na nchi ishakaliwa na watu wengine?
wangoni hawawezi kurudi huko-maana huku waliko hawapati shida yoyote-wa israel wengi walikuwa wanateswa na kuuliwa kila sehem waliyokuwa
pili-waisrael wana religious motive-ndo maana inakuwa ngum kwa wao kuachia eneo lao
ZIONISM niliisoma kwa miaka 2-kama somo-so naifahamu vyema sana,tena sanaHivi unafahamu Zionism(mradi wa Wayahudi kwenda israel) umeanzishwa miaka mingi kabla hata ya mauaji ya halaiki ya enzi za Hitler?. Wayahudi wamechukuliwa kutoka nchi mbalimbali tena wengine wakiwa wanaishi kwa amani kabisa kama raia wa nchi hizo wanazotoka mfano Ethiopia, Kiufupi ni kwamba hata wewe hapo ukijigundua kwamba una asili ya kiyahudi, na Ilhali ni Mtanzania safi usiyebughudhiwa Tanzania basi una haki ya kuhamia Israeli
Ni kweli katika nchi nyingine Wayahudi wamesuffer ile inayoitwa Anti-semitism, lakini hilo ni suala la civil rights, kupigania haki yako ya kirai mpaka kieleweke,ndivyo BlackAmericans walivyofanya huko Marekani.
Kuhusu Motivation ya dini, hiyo ipo kwa kundi moja la Wayahudi, ila Israel ni secular state na sheria nyingi za kidini ya kiyahudi kuna kundi hawazitaki kabisa ziwemo katika system ya sheria za nchi.
Kuna Wayahudi waliokuwa wakomunisti waliotoka katika nchi za Soviet hao mambo ya kidini usingewaeleza.
Kuna Kundi kubwa la Wayahudi wasiotaka kuhamia Israel, hawakubaliani na principle za Zionism
Hili ni somo ambalo linachanganya wengi sana ila kwa ufahamu wangu mfupi ni kuwa kwa sasa hivi kuna aina 3 za wayahudi.....
1 ASHKENAZI ambo walikimbia mateso ya utawala wa warumi na kuelekea upande wa kaskazini na kuishi katika dola ya KHAZARIA (kiasili sio wayahudi ila mfalme wao KHAGAN BULAN aliikubali dini hiyo na wafuasi wake wote wakawa wayahudi ) na baadae wakatawanyika kuelekea ujerumani na nchi nyengine za ulaya.kama historia ya wangoni walipotimuliwa na wazulu walikumba makabila mengine na kuyafanya waye wangoni.
2 SEPHARDIC / MIZRAHI hili ndilo kundi linalokisiwa kuwa ni wayahudi wa asili ambao walikuwa hapo falastina / palestina kabla na baada ya utawala wa warumi na mpaka waingereza walipokuwa wanitawala palestina wao walikuwepo hapo.wengine walihamia afrika ya kaskazini mpaka hispania / ureno (iberia) .baada ya vita ya kanisa CRUSADES vilivyoandaliwa na mfalme 2nd FERDINAND WA ARAGON na malkia 1st ISABEL WA KASTILLA ambao waliwatimua WAISALAMU na WAYAHUDI kutoka IBERIA ,waliobakia waliambia ni lazima wawe wakristo.mpaka leo kundi hili la wayahudi unaweza kulikuta MOROKO,TUNISIA,kiujumla wapo afrika ya kaskazini.Sefardik / Mizrahi wanapatikana afrika ya kaskazini, YEMEN,IRAN,SIRIA MPAKA INDIA.
3 kuna makabila tele ulimwenguni ambayo yanadai / kuwa ni ya kiyahudi ambapo afrika pia yapo mfano
ETHIOPIA (beta israel) inasemekana wana asili tangu enzi za nabii suleiman na malkia sheba/saba.
WALEMBA (ZIMBABWE) NK YAPO MENGI SANA.
HITLER katika final plan alisema kuwa wayahudi wote walioko ujerumani atawahamishia madagascar (MADAGASCAR PLAN) ,waingerza baada ya vita walikuwa na mpango wa kuwaleta uganda ( BRITISH UGANDA PLAN) ila baadae ndipo wakapelekwa hapo na kupewa ardhi ilokuwa imetengwa kwa nchi ya palestina.
kuna wengine wauoana huu mgogoro ni kuwa wa kidini,wengine wanaona ni wa kimaslahi zaidi (ardhi,maji nk ) suluhisho ni kuunda taifa moja lenye makabila hayo na wapange utaratibu wa kuishi kama ni shirikisho au vynginevyo..kwani hivi sasa wapo waarabu ambao wana uraia wa israil.kufanya mataifa ma2 ambapo waisrail hawakubali ile ramani ya mwaka 67 na wala hawawataki wale wakimbizi walong`olewa majumbani mwao wakati wa vita ................
Ni jambo la kawaida kusikia waarabu na washirika wao wakidai kuwa waisraeli wanakalia maeneo ya wapalestina,na taifa hilo lilianzishwa kimabavu na marekani,hivi kabla ya hapo kulikuwa hakuna nchi ya israeli?Kama ilikuwepo ilikuwa wapi?Kama ni hapo ilipo nani mvamizi?Kama sio hapo ni wapi ilikuwapo?Na nikwanini ianzishwe hapo?Kwanini isipelekwe eneo lake?Au hatujui ilikokua?Kama hatujui,je tunajua nini?Coz haiwezekani nchi hii iwe haikuwapo kabla!
Hivi wangoni, wanaweza kwenda South Africa kudai ardhi, Afrika kusini kwa sababu walifurumushwa na Shaka Zulu?.
Hivi Black Amercans wanaweza kurudi Ghana, na nchi za west Africa wakadai nchi?
WaAustralia warudi Britain wadai nchi?.
Mimi ninadhani pale unapozaliwa ndiyo kwenu, cha kufanya ni kupambana kudai civil rights basi ili uwe raia mwenye haki sawa na wengine!. sasa wewe jiulize utadai vipi ardhi ya miaka 2000 iliyopita wakati hapo katikati vimeshapita vizazi vingi na nchi ishakaliwa na watu wengine?