kila laheriNimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye upendo na amani unakaribishwa.
Sifa zako, uwe mcheshi, umri kuanzia 26-30 years, elimu angalau kuanzia Kidato cha NNE, umbo usiwe mnene sana, dini yoyote na kabila lolote. Uwe focused na maisha, mengine tutafundishana tukiwa pamoja.
Kuhusu wasifu wangu, Nina miaka 32, elimu bachelor, nimejiajiri nafanya biashara zangu, mengine utafahamu zaidi PM.
Karibuni kwa wahusika, kama haikuhusu tafadhali pita kimyakimya!
Hivi my life woman ndo mwanamke wa maisha yangu eeh
Hivi my life woman ndo mwanamke wa maisha yangu eeh
ππUngetumia ID yako ya siku zote ingekuwa njema zaidi...Kila la kheri.
πππππ€£wazungu huita the Woman of my life au the woman of my dream na watu wa republic of buza huita my life woman
Sent using Jamii Forums mobile app
Republic of what?? πππππ€£wazungu huita the Woman of my life au the woman of my dream na watu wa republic of buza huita my life woman
Sent using Jamii Forums mobile app
La mujer de mi vida πHivi my life woman ndo mwanamke wa maisha yangu eeh
Hahaa hatariLa mujer de mi vida π
buza, honey ,usihofu kesho nitakupelekaRepublic of what?? ππππ
Naomba unipeleke nikapaone pls, nitoe ushamba na mimi.buza, honey ,usihofu kesho nitakupeleka
Sawa mkuu.Umekiuka vigezo na mashariti, haikuhusu kimyakimya unapita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]wazungu huita the Woman of my life au the woman of my dream na watu wa republic of buza huita my life woman
Sent using Jamii Forums mobile app
hello my namba 0718616236 plz nicheki tuyajenge.Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye upendo na amani unakaribishwa.