Where are the Tanzanian Navy and Tanzania Marine Police Forces?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Current leadership:

Major-general-Omar-et-CA-Coindreau.jpg

Future leaders?

file.asp

tanzania-naval-command-rbs-defender-boatphotoafricom1.jpg

a. Who are the two heads of these two entities?
b. What are the capabilities of TN and TMP?
c. What are the responsibilities of each one of them?
d. What time of the day to they work and where do they work... in the waters or on land! (I mean where do they spend most of their time)
e. Have they ever learned anything from previous marine tragedies?
f. Have they ever adjusted their structures and functions to respond to demanding needs of marine safety and security?
g. Where does Tanzania Fire and Rescue Services fit in all this?
 
"Serikali imesikitishwa na tukio hili. Imetoa ubani na kutuma rambi rambi"
"Tumeunda tume kulishughulikia hilo"
"Mipango iko njiani kuboresha huduma zetu, tupeni muda"
"Tutahakikisha janga kama hili halitokei tena"
:blah::blah::blah:
 
It is not the first time our navy failed to respond to a disaster. During MV Bukoba we wait until SA Navy came to assist. It is the issue of technology and investment in the army. Some circles think that invest in military it is for war. No, we can use them during disaster. Who to tell the government?
 
Akiulizwa leo PM pale bungeni atatoa maneno haya haya na kumalizia na ile trade-mark...."..tufike mahali sasa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye vizuri zaidi ili haya yasijirudie tena" na mikono yake akiwa ameiweka kama mtakatifu na muungwana fulani hivi. :flypig:

Hii sala nzuri kweli ya serikali kwenye kila majanga yanayotukumba.Ila sehemu yenye raha ni kwenye kuunda tume...kufa kufaana
 
ukiongeze na ile "Nadhani ipo haja" sijui haja gani kubwa au ndogo
 
Akiulizwa leo PM pale bungeni atatoa maneno haya haya na kumalizia na ile trade-mark...."..tufike mahali sasa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye vizuri zaidi ili haya yasijirudie tena" na mikono yake akiwa ameiweka kama mtakatifu na muungwana fulani hivi. :flypig:
Hawawezi kuruhusu kipindi cha maswali na majibu kiwepo leo, wako tayari na leo kusiwepo na shughuli za bunge kwa ajili ya kukwepa maswali juu ya jambo na mambo haya.
 
"Serikali imesikitishwa na tukio hili. Imetoa ubani na kutuma rambi rambi"
"Tumeunda tume kulishughulikia hilo"
"Mipango iko njiani kuboresha huduma zetu, tupeni muda"
"Tutahakikisha janga kama hili halitokei tena"
:blah::blah::blah:

Bora wasiseme halitotnkea tena maana kila wakisema hivyo ndo janga linawahi
 
Acheni kuunda tume ovyo na kupoteza hela zetu kila mwaka mnatengewa hela na bunge lakini kila wakati boti zikizama respond time ni zero emergency unit ya baharini iko wapi?

Au itabidi tuombe kk security wanunue boti watulinde baharini? Kama wanavotulinda nchi kavu.. Shame on this government.

Am sure JK hana hata habari ndo kwanza anaenjoy na mgeni wake kutoka liberia
 
Maswali hayo magumu huwa yanajibiwa na majibu ya kipuuzi ambayo hutotamani hata kujadiliana na huyo mtoa jibu!

Atakujibu kirahisi tu "nchi yetu bado changa na masikini"

Hata hivyo mbona tunaenda mbali sana?
Kuna swali jepesi tu,
ushawahi kujiuliza jeshi letu la polisi lina Helcopter ngapi?

Nenda CCP pale ukacheke, kulikuwaga na bonge la Swimming Pool (olympic standard) saiv limekuwa choo cha watoto wa qotter na washkaji wanaofanya mazoezi pale kwenye viwanja vya ccp!

Taifa linaloishi huku limekufa.....
 
TENA HAWANA HATA AIBU HATA MWEZI HAWAJAMALIZA ZA MAFUNZO LAKINI HAWANA MSAADA WOWOTE

DAR ES SALAAM, Tanzania, Jun 28, 2012 - High Speed Vessel Swift's (HSV 2) civilian master and military detachment officer-in-charge discussed combating piracy and continued cooperation efforts during an office call with Tanzanian naval leadership, June 26, 2012.

The office call was part of Swift's planned 12-day port visit to Tanzania for Africa Partnership Station East 2012.

Swift's civilian master, Captain Rhett Mann, and military detachment officer-in-charge, Lieutenant Commander Charles Eaton, met with Major General Saidi Shaaban Omar, chief of Tanzania People's Defence Force navy, and Colonel M.S. Masanga, commander, 701 Flotilla.

The visit was a chance for both groups to discuss emerging issues that threaten maritime security as well as focus on building upon the partnership that has already developed through several years of working together.

"I visited Swift with our president two years ago and enjoyed the ship. We are familiar with the APS program, and can say it is very useful to our armed forces," said Omar.

While in Tanzania, Swift's crew and embarked Marines, NCIS personnel, and members of Maritime Civil Affairs and Security Training teams will conduct five separate subject matter expert exchanges during the two-week visit.

"The level of participation in the SME exchanges has been outstanding and enthusiastic. The port security familiarization has high interest here in Dar Es Salaam, so we're going to hold it twice while here. We're looking forward to continuing this partnership and exchange, working together with our partner nations to protect African shores," said Eaton.

During the office visit the conversation was centered on Swift's capabilities and the dynamics of a civilian and military crew working together, as well as how APS may help African nations confront piracy.

"We have a big sea to patrol and our main challenge is pirates. They are very tricky and they know what they're doing," said Masanga.

Tanzania's navy leadership was invited to Swift for tours and the chance to continue the discussion on issues that APS can address in future visits.

"Any problem, we can solve together so that we'll always have continued success," said Omar.

Swift, a Military Sealift Command-chartered High Speed Vessel, is making port calls throughout Africa in support of APS and Theater Security Cooperation visits.

APS is an international security cooperation initiative, facilitated by Commander, U.S. Naval Forces Europe-Africa, aimed at strengthening global maritime partnerships through training and collaborative activities in order to improve maritime safety and security in Africa.

Hawawezi kuruhusu kipindi cha maswali na majibu kiwepo leo, wako tayari na leo kusiwepo na shughuli za bunge kwa ajili ya kukwepa maswali juu ya jambo na mambo haya.
Kama uliowajulia, tayari wameahirisha kikao cha leo, wakati ndio hawa hawa jana waliokataa kusitisha kikao cha jioni. Ama kweli Waso haya wana mji wao!

Hii sala nzuri kweli ya serikali kwenye kila majanga yanayotukumba.Ila sehemu yenye raha ni kwenye kuunda tume...kufa kufaana

Bora wasiseme halitotnkea tena maana kila wakisema hivyo ndo janga linawahi
Msiba wako furaha ya mwenzio. Majanga yakitokea hupata kuunda tume na kwenye tume ndio kwenye mafao yao.

Acheni kuunda tume ovyo na kupoteza hela zetu kila mwaka mnatengewa hela na bunge lakini kila wakati boti zikizama respond time ni zero emergency unit ya baharini iko wapi? Au itabidi tuombe kk security wanunue boti watulinde baharini? Kama wanavotulinda nchi kavu.. Shame on this government. Am sure JK hana hata habari ndo kwanza anaenjoy na mgeni wake kutoka liberia
Kwenye tume ndio kwenye maslahi - posho za usafiri, za "disturbance", za malazi, za vikao...Kufa kufaana by Ndahani. Tume oyeeee!
 
Last edited by a moderator:
Current leadership:

Future leaders?

file.asp

a. Who are the two heads of these two entities?
b. What are the capabilities of TN and TMP?
c. What are the responsibilities of each one of them?
d. What time of the day to they work and where do they work... in the waters or on land! (I mean where do they spend most of their time)
e. Have they ever learned anything from previous marine tragedies?
f. Have they ever adjusted their structures and functions to respond to demanding needs of marine safety and security?
g. Where does Tanzania Fire and Rescue Services fit in all this?

Hhahah! So kwa kuwa ni jeshi la maji so waishi majini kama samaki?
 
It is not the first time our navy failed to respond to a disaster. During MV Bukoba we wait until SA Navy came to assist. It is the issue of technology and investment in the army. Some circles think that invest in military it is for war. No, we can use them during disaster. Who to tell the government?
Wajua serikali yetu haina upeo wa kufikili kabisaaaaaaaa, wao walikimbilia kwanza ubinafsishaji bila kuweka mikakati husika ya Wizara ya mambo ya ndani, Maana wizara ya mambo ya ndani ni sector nyeti sana kwa kila nchi ila haapa kwetu ni ulazi katika hiyo wizara na kupitishia miradi ya wakubwa tuuu haya sasa Navy kazi yao ni ipi katika hili janga wanasema tukio limetokea almost 48KM from Dar jamani Navy Boats huwa haziko stand by kweli? How often they do rescue practice at (Lake,Ocean)? non zero hadi wazungu waje kuwatembelea ndio utawaona wanatamba na Marine boat huko kwa bahari na ziwani hivi huuu si wenda wazimu? Kile kitengo cha maana kipo kweli Mr. MP aliepo sasa wewe Pinda Jibu hili? Hicho kitengo kimepewa Mamlaka gani na nguvu ipi kisheria kuwajibika kwa kazi zake? Hiii nchi hii kuna HAKI kweli au AMANI kweli?? My Take; Tuachane na siasa kwa maisha ya watanzania nyie viongozi, Lini mtaacha siasa za maji taka maana kila kukicha viongozi wa serikali mwa hubiri AMANI AMANI !!!! khaaa kuna amani gani kama hakuna HAKI anayotendewa RAIA wa Nchi hiii????? Viongozi wetu wamekuwa ni wanafki kabisaaa wameingia IKULU kwenda fanya Biashara amini msiamini nawaambieni huo ndio ukweli. Majuzi nilikuwa Zanzibar nika kutana na mtu ndani ya Azama Boat akaniambia waliandika Proposal kwa serikali na waka suggest kuwa huko ugiriki walijitolea kuleza vifaaa ya baharini moja Meri kubwa ya abiria kwaajiri ya kutoa huduma bara na visiwani, meri ya uvuvi meri ya mizigo na meri ya kusafirisha magari mean pantoni. Ukweli ile proposal iliwekwa kibindoni majuzi jamaa anashangaa mradi huo huo ndio Bakharesa anaumendea serikalini wampe na wanamnyima kuna kuwa na zengwe sasa hii serikali inataka isaidikeje?
 
Back
Top Bottom