Where are the Tanzanian Navy and Tanzania Marine Police Forces?

Current leadership:

a. Who are the two heads of these two entities?
b. What are the capabilities of TN and TMP?
c. What are the responsibilities of each one of them?
d. What time of the day to they work and where do they work... in the waters or on land! (I mean where do they spend most of their time)

e. Have they ever learned anything from previous marine tragedies?
f. Have they ever adjusted their structures and functions to respond to demanding needs of marine safety and security?
g. Where does Tanzania Fire and Rescue Services fit in all this?

Mkuu sasa wako kwenye dill la kilimo kwanza. Biashara ya matrecta mkuu.
 
haya ni majanga tu,ata serikali gani ikiwepo madarakani yatatokea tu...!!
miundo mbinu kazi kweli...sasa hapo bado mahospitali watakopelekwa ao majeruhi...shida tupu
 
What we do normally define who we are...hakuna namna nzuri inayotueleza sisi ni kina nani kama hii ya kuruhusu majanga haya yaendelee kutokea kila wakati, hata kama tutawapiga watu na kuwatupa kule maporini kila siku ili tuonekane tupo na tunafanya kazi...
 
Let us agree on one thing its like our Country right now its at stalemate.................no matter how loud we raise our voices this guys are just there no action is being taken...............Hii ni ajali ngapi kutokea katika kipindi cha mwaka moja, i really want to get in the heads of our leadership and know exactly whats going on in there
 
Ushauri wa bure Elizabeth Dominic - Hata ukiingia vichwani mwao hutaona kitu kwani wanafikiri kwa kutumia masaburi...na sikushauri uingie huko - lol. Tubakie na motto yetu tu, "Wao wana dola, sisi tuna Mungu".
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia kweli activity za Navy nikaona sana sana focus yao iko dhidi ya maharamia na hata mafunzo mengi wanapata ni kupambana na uharamia wa Kisomali

I guessed. Maharamia ndio threat yetu kubwa kwa sasa na pengine tunasahau hizi natural disastrous...as you know we are not very proactive by nature. We wait for somethings to happen so that we can respond.
Pengine this third time could be a wake up call for the need to have the Navy with personnel and equipment that can also respond on problems of that nature....
 
Nakumbuka siku ile ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika jamaa walituonyesha silaha nyingi sana za kijeshi na namna ambavyo askari wao wanaweza kupasua tofali kwa kichwa...Na wakati JK anatoa salamu kwa wananchi alisema, "HAPA TUMEWAONYESHA SILAHA CHACHE KATI YA NYINGI, MUDA USINGEWEZA TOSHA KABISA......" Sasa najiuliza hivi kuwa na silaha lukuki zisizo na msaada kwa wananchi maana yake nini? Kama mnakosa vifaa kwa jeshi la maji na anga kwaajili ya matukio kama haya maana yake nini?
 
Ushauri wa bure Elizabeth Dominic - Hata ukiingia vichwani mwao hutaona kitu kwani wanafikiri kwa kutumia masaburi...na sikushauri uingie huko - lol. Tubakie na motto yetu tu, "Wao wana dola, sisi tuna Mungu".

Yeah you are right lakini haitasababisha tusitake kujua kwa scientific reasons........ili hata tukishawaepuka tujue kisayansi ili tusije kujikuta hapa hapa in the future
 
current leadership:

major-general-omar-et-ca-coindreau.jpg

future leaders?

file.asp

tanzania-naval-command-rbs-defender-boatphotoafricom1.jpg

a. Who are the two heads of these two entities?
B. What are the capabilities of tn and tmp?
C. What are the responsibilities of each one of them?
D. What time of the day to they work and where do they work... In the waters or on land! (i mean where do they spend most of their time)
e. Have they ever learned anything from previous marine tragedies?
F. Have they ever adjusted their structures and functions to respond to demanding needs of marine safety and security?
G. Where does tanzania fire and rescue services fit in all this?
tatizo bado ni lile lile ombwe la uongozi huwezi kuwa na viongozi makini jeshini wakati juu yao ni wasanii, hakuna uhusioano, hata kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wamejaa wanasiasa tu, hakuna kitu, ndo maana wanashika ukuu wa wilaya, mikoa, hata uwaziri, vyombo vyetu vya ulinzi ni vichekesho, tuombe mungu asitokee idi amini mwingine, ni aibu ya karne , hiyo navy haina hata boti moja inayofanaya kazi kwa uhakika, kwani hamsikii mabomu ya uvuvi haranu yanapigwa tu hapo mbele yao lakini hawana la kufanya! Cha ajabu hata vile vilivyopo ni vile vilivyotumika wakati wa vita ya kwanza ya dunia....wanachi daini haki ya kutembelea vyombo hivi kwani vinafanyakazi kupitia kodi zenu
 
Mzee Mwanakijiji, they are here, they are there but you need the latest microscopic to see them working.Mzee Mwanakijiji, you have to be excused because your questions based on dealing with 21st century tragedy while they have trained to deal with 19th century tragedy and also Leader lacks forward thinking mentality.
Theoretically, Tanzania has what you can call Navy and Marine police forces to deal with 21st century tragedy but practically, We have Navy and Marine police forces to working to assist dodge businessman & businesswoman in evading taxman.
 
I guessed. Maharamia ndio threat yetu kubwa kwa sasa na pengine tunasahau hizi natural disastrous...as you know we are not very proactive by nature. We wait for somethings to happen so that we can respond.
Pengine this third time could be a wake up call for the need to have the Navy with personnel and equipment that can also respond on problems of that nature....
Ndahani i'm clueless on how our Navy operates but safety and regulation i think its under SUMATRA but Mwanakijiji raised a very important issue like who are this guys, what are they doing? and so forth lakini hapa usiseme kuwa hii ni wake up call how many wake up calls do they need?
Mimi maswali yangu yatakuwa wanavyo vifaa vya rescue operation? Walishiriki vipi kwenye uokozi wa MV Spice Islanders?
 
I said a wake up call because I really do not know what are their training priorities. Rescuing operations require trainings as well in order for the mission to be accomplished smoothly. Do they do it? Au wanafanya mambo mengine ya kijeshi? Well, na wanazo equipment za kuifanya kazi hiyo?
 
Yeah you are right lakini haitasababisha tusitake kujua kwa scientifically reasons........ili hata tukishawaepuka tujue kisayansi ili tusije kujikuta hapa hapa in the future
Nadhani hata logical reasons zingetosha kama tungekuwa na masikio, macho na hisia za kibinadamu, kwani idadi kubwa ya ajali zinazotokea zinatokana na uzembe (wa abiria, madereva na wasimamizi wa sheria), uchakavu/ubovu wa miundo mbinu pamoja na rushwa, ufisadi na kulindana.

Baada ya ajali ya jana nilikuwa nikiangalia yaliyotokea mwaka jana, nimeona ripoti ya ajali ya MV Spice Islander, utaipata hapa: Ripoti Ya Mv Spice Islander. Ripoti ni kubwa, lakini kaam ukipenda unaweza kusoma kuanzia ukurasa wa 75 kuhusu ya mapendekezo ya tume juu ya adhabu za kisheria na kinidhamu kwa waliohusika, ikiwemo serikali; na mapendekzo kwa serikali nini ifanye nini yasitokee kama yale. Kama kuna yeyote aliyefaidika basi ni Tume ya Ulaji.
 
I said a wake up call because I really do not know what are their training priorities. Rescuing operations require trainings as well in order for the mission to be accomplished smoothly. Do they do it? Au wanafanya mambo mengine ya kijeshi? Well, na wanazo equipment za kuifanya kazi hiyo?

Lets look for that info so we know exactly what we are discussing here......................but all in all they are called Navy and Marine Police for a reason right? Lets dig this deeper
 
Ni wapi katika nchi hii tumejipanga vizuri kwa lolote lile? Tukiambiwa ni DHAIFU, WAZEMBE na WAPUUZI tukubali tu. Taasisi zote mbili, yaani Navy na Police Marines ziko kama hospitali zetu zinazopigiwa kelele na maDaktari wetu. Hakuna vifaa wala vitendea kazi vya maana. Vilivyopo ni vya zamani mno, vibovu na vimepitwa na wakati. Tuendelee tu kugharamia SIASA na wanaSIASA. Uliza gharama iliyotumika kukodi ndege kuwapeleka WABUNGE Zanzibar kutoka Dodoma. Utadhani wakifika kuna lolote la maana watafanya zaidi ya kuuza sura kwenye TV!
 
Nadhani hata logical reasons zingetosha kama tungekuwa na masikio, macho na hisia za kibinadamu, kwani idadi kubwa ya ajali zinazotokea zinatokana na uzembe (wa abiria, madereva na wasimamizi wa sheria), uchakavu/ubovu wa miundo mbinu pamoja na rushwa, ufisadi na kulindana.

Baada ya ajali ya jana nilikuwa nikiangalia yaliyotokea mwaka jana, nimeona ripoti ya ajali ya MV Spice Islander, utaipata hapa: Ripoti Ya Mv Spice Islander. Ripoti ni kubwa, lakini kaam ukipenda unaweza kusoma kuanzia ukurasa wa 75 kuhusu ya mapendekezo ya tume juu ya adhabu za kisheria na kinidhamu kwa waliohusika, ikiwemo serikali; na mapendekzo kwa serikali nini ifanye nini yasitokee kama yale. Kama kuna yeyote aliyefaidika basi ni Tume ya Ulaji.

Inachosha kusikia kila wakati Taifa linapokumbwa na majanga kama haya na tume uundwa na kutoa mapendekezo lakini tena na tena tunajikuta palepale na ebu tuanze kutazama hatua zilizochukuliwa toke Spice Islander tragedy na sio hiyo turudi nyuma kwenye mother of all tragedies MV Bukoba? Tutaona makosa yalitokea then yanajirua hata sasa.......Ubovu/uchakavu wa meli, kujaza abiria kupitiliza, mamlaka bandarini kutowajibika ipasavyo hayo yote ni vitu visivyobadilika na tuko hapa tunajadili kitu ambacho kimejitokeza tena hata haijapita zaidi ya mwaka..........................
 
  • Thanks
Reactions: Awo

Inatia uchungu na kuvunja moyo. Nitajivunia kwa Tanzania yangu? Aghrrrrrr!
 
Back
Top Bottom