Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 335
hapa inategemea una define vipi neno 'rahisi'Kwakuwa Paypal ndio njia rahisi inayoshawishi kufanya malipo online kwa haraka sana.
sjawaipata ilo tatizo kwa kweli, nimeconvince clients wangu wote kuja WU na ku settle payment, wengi waelewa hasa kama umemfanyia kazi vizuriWatu wengi wa nje wanapenda kutumia paypal na sio card za benki direct.
Na hapa ndipo tatizo lilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatumia site gani?nilijiunga upwork na freelancer nikaona option 3 tu ya kwanza paypal,ya pili payoneer,ya tatu wire transfer.na wire transfer wameandika wanakata $30 per each transaction! Sasa hapo kama ni kikazi cha dola 8 mpaka zijae dola 100 si mtihani!? Nikajaribu kuregister payoneer napo kwenye address wakanizingua wanataka post box mara namba ya nyumba complications kibao nkaforce hatimae wakaniblock!sjawaipata ilo tatizo kwa kweli, nimeconvince clients wangu wote kuja WU na ku settle payment, wengi waelewa hasa kama umemfanyia kazi vizuri
Mkuu sasa tupo katika 2020. Na hasa kama soko lako unalenga europe na usa maanake paypal inakuwa muhimu kwasababu inafanya vzr katika development coz ninachozungumzia ni buy it now yaani mtu ananunua hapo anapata anachokitaka hata km ww haupo online. Paypal ni rahisi kwasababu ni autopilot payments kwa system nyingi na web appssjawaipata ilo tatizo kwa kweli, nimeconvince clients wangu wote kuja WU na ku settle payment, wengi waelewa hasa kama umemfanyia kazi vizuri
Tatizo halipo kwenye kulipa hela kupitia card. Tatizo lipo kwenye kupokea. Sijui kama halopesa visa wana API za kufanya intergration na system za web appsTravis Walker,
tumia HALOPESA kama visa its working
sasa mkuu ndio wamebana kama ivyo, wewe unadhani tunafanyaje ? zaidi ya ku stick na m'badala ?Paypal
sina experience na Payoneer au nyinginezo, zaid ya Skrill( kwa upande wa freelancer)Mkuu unatumia site gani?nilijiunga upwork na freelancer nikaona option 3 tu ya kwanza paypal,ya pili payoneer,ya tatu wire transfer.na wire transfer wameandika wanakata $30 per each transaction! Sasa hapo kama ni kikazi cha dola 8 mpaka zijae dola 100 si mtihani!? Nikajaribu kuregister payoneer napo kwenye address wakanizingua wanataka post box mara namba ya nyumba complications kibao nkaforce hatimae wakaniblock!
Naomba ushauri wako mkuu nifanyeje?
Ndio maana, sisi tukawa tunachelewa katika maendeleosasa mkuu ndio wamebana kama ivyo, wewe unadhani tunafanyaje ? zaidi ya ku stick na m'badala ?
Hii skrill mbona kwangu inagoma kunilete option ya wallet? Msaada tafadhali