Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
ebanaeee mi nikajua mbunge bana,
ila daaah we acha kabisa kaka SnowBall ni Gentleman of his own class,
ilikuwa ni kuhama tu kutoka chako ni chako, double h (si mnajua kuku wa pale)tukawatafuna, ilikuwa ni bandika bandua mpaka mida mibovu.
Daah i never expected tuta sync in few min. maake ukimcheki jamaa lazima ujishtukie.
yote tisa, kumi weekend was great.
shoutout to SnowBall na wadau waliojitokeza
wife wa zamani bana una mambo, wewe hata usiposema, ujue nishasema thanks kimoyo moyo
Kumbe ndio maana hata "I love u" zako ulikuwa unazisemea kimoyomoyo....!!! Sasa me ningejuaje kama ulikuwa unazisemea kimoyomoyo?? Dah.. nilibug meeen.......
dah!!!mbona hujaniletea huyo mgeni huku mpwapwa???!!!!!
nimekuita peke yako na wewe unaita wanaume wako wote, njoo peke yako bana
Nipo mpenzi wangu.
Kila siku nakuwaza tu.
Afu kuna ishu ntaja Pm, ntakushtua.
naisubiri kwa hamu zote.... Nilikumisije...!!