Kumbe ndio maana hata "I love u" zako ulikuwa unazisemea kimoyomoyo....!!! Sasa me ningejuaje kama ulikuwa unazisemea kimoyomoyo?? Dah.. nilibug meeen.......
Hamna msakaji naona Donn ana wasiwasi tu
aaah.... Mi si nimechungulia PM zako za tangu jana... Full majina mazuri mazuri na miadi..... Teh teh teh..
sikujua kama na wewe ni mwana chitchat
yaani ukaamua kujimilikisha peke yako huyo SnowBall pacha wa mdogo wangu snowhite?ebanaeee mi nikajua mbunge bana,
ila daaah we acha kabisa kaka SnowBall ni Gentleman of his own class,
ilikuwa ni kuhama tu kutoka chako ni chako, double h (si mnajua kuku wa pale)tukawatafuna, ilikuwa ni bandika bandua mpaka mida mibovu.
Daah i never expected tuta sync in few min. maake ukimcheki jamaa lazima ujishtukie.
yote tisa, kumi weekend was great.
shoutout to SnowBall na wadau waliojitokeza
????????:tape2:wife wa zamani bana una mambo, wewe hata usiposema, ujue nishasema thanks kimoyo moyo