When Mwendo kasi meets mwendaPole

mbona inajieleza yenyewe?
Kwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.
 
Kwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.
wewe ndio pumbavu. tatizo una macho lakini hauoni. hujiulizi kwa nini yapo perpendicular
 
nao hao wa mwendo kasi wafuate sheria. maana wanaendesha utadhania ni emmergcy vehicle.
na sie bado ustaarabu wa kupishana hasa Dar haupo kabisa. twagombea barabra kama kitoweo
Mwendokasi wanaendesha kama wako wenyewe barabarani.......kisa wana njia zao......Dar sio porini......
 
Haya magari mpaka mwaka unaisha na mradi utakua umesimama. Vijana makond mtarudi barabarani kama kawaida. Asanteni kwa kuja na tuzidi kuombeana uzima
 
Nimesema wewe ni juha. Ndio maana kunataa barabarani. Au umezoea kuendesha punda?

Tumia hata akili ya kujisaidia japo kidogo.
Ficha upumbavu wako. Wewe ni mbumbumbu.
any way matatizo ya kukremisha.
 
w
Kwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.
wee kweli ziro brain alafu unajifanya unajua kumbe umekalili tu hao wa mwendo kas na wao inatakiwa wafatishe sheria za alama barabaran sasa hapo uyo mwenye bus taa zilimruhusu kupita na uyo wa mwendo kas taa zilimzuia ila kwakua kavuta bangi ndo tatzo ilo
 
Magari Ni ya Mwendo Kasi ukiliona linakuja kwa mwendo Kasi Basi lipishe .
 


Mjiandae mnaojifanya mnapenda shortcut, mlifikili utani
 
Wadau kuna operation jiji zima kwa wanaotanua/wanaopita service road na Mwendo kasi. Kuweni makini.
RTO wa kinondoni anakamata yeye mwenyewe, ukidakwa unalala lock up na kesho yake Mahakamani. Ujue ukikamatwa HAKUNA DHAMANA POLISI.
 
Washirazi wa tanzania especially wa unguja, pemba na mafia wao ni machotara tu bali sio wale wenyewe kutokana na kizazi ndio kinaishia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…