Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
destiny1 ,swali lako nitalijibu kama ifuatavyo;
'
Kwa mujibu wa Biblia,binadamu ameletwa duniani kuishi,haya mengine ni mahangaiko yetu tu.
'
Wakati Mungu anamuumba mwanadamu hakusema kuwa akafanye hiki au kile bali akaishi tu
'
Tumekuja duniani kuishi tu!
Hapa kuna aina mbili ya watu...
Kuna mtu haridhiki na penzi analopewa sababu huyo ambae anadai anampenda (yeye) matendo tofauti kabisa na ya yule mtu ambae anakupenda. Inakuwa kuwa hio perception yake ipo on the right track.
Kuna mtu ambae hata akipendwa vipi yeye haoni kuwa anapendwa... Huyu mtu unaweza fanya kila kitu, ukamlamba hata miguu lakini ukikosea ukafanya kosa dogo (kwa bahati mbaya ama makusudi) tayari ananuna serious na toka rohoni kwake anaamini kuwa humpendi. Huyu mtu anakuwa amekosa busara na ujuvi kuwa mtu hata akupende vipi at the end of the day nae ni mwanadamu... Anaweza kukukosea (iwe kwa makusudi ama lah) lakini haina maana kuwa S/he loves you less. It only means kuwa s/he is just human... Pamoja na kusema makosa nayo yana mpaka wake.
Kwa kuongezea... Upandea wa perception... It has to do with how huyo mtu wako makes you feel. Unaweza kuta mtu wako hata hakupendi saana, au tu ile kawaida; but sababu anakufanya you feel like a Wo/man, anakuanya you feel more alive, more loved, more secure, more confident... na a lot more... You feel like anakupenda na that the 'LOVE' you have is enaf. While ki ukweli inaweza kuwa kweli anakupenda AMA anakupenda kawaida but - it is just that you love her/him enough for the both of you...
This is becoming even more interesting Da Asha, so what we need might not necessarily be love yani just love, but matendo yatakayotufanya tujisikie we are loved..... maana unasema mwingine anakupenda lakini haonyeshi, na mwingine anakupenda kidogo lakini anaonyesha mpaka unahisi yeye ndio anakupenda sana..... very interesting ok.
Juu ya Love... What we do is kujaribu tu kuelekezana to our best of knowledge... BUT ukweli unabaki kuwa it is the one thing of which mwanadamu haweza akaja na definition na ikawa universally applicable kwa sentensi ya kumeza kila ambacho love entails. Pamoja saana Denstiny.... All the best katika your journey of understanding it.
Tuambie kuhusu haya mapenzi ya kibinadamu Tetra, God's love is with no doubts always there and enough.
Love Equation.... (kwa mtizamo wangu; Source Mimi mwenyewe)
Love = (personal attachment + strong affection)___
.......(betrayal + disappointments + negative issues)
Therefore Enough Love is when negatives issues, betray and disappointments are less than the feelings of personal attachment and affection..
But when the disappointments are more than the affections love will approach zero (die) but sometimes affection and attachment is so large a value than even with disappointments and betrayals the value of love is still great (e.g. of this is motherly love) but in couples normally when values at the denominator are more than nominator prepare for divorce or kibuti.
Enough Love = (personal attachments) > (disappointments)
Need more Love = (personal attachments) < (disappointments)
No Love = dissapointments
Upendo ni nini sasa?
Basically, this is very tru Kaunga. Lakini je, umewahi kujihisi kuwa the love that sorrounds you is enough that you dont need 'particular love'??
Kwenye mavurugu ya mapenzi(sio upendo) huko nako kuna matatizo mengi sana
'
Ili uyafurahie mapenzi ni lazima uwe unajipenda mwenyewe.Usipofanya hivyo utaona kila mtu anakuchukia tu.
'
Kila mtu ana njaa ya kupendwa na yeye akiwa hayuko tayari kutoa upendo.Kazi sana.
'
Wewe una njaa ya upendo unatarajia ushibishwe na mwenzako,nae ana njaa kama wewe na anasubiri wewe umshibishe,wote mnasubiriana,muda unaenda,mnagombana na kila mmoja anamlaumu mwenzake hampendi.
'
Mnaishia kuchukiana!
Ok. Selfishness sijui nani kaiepuka na sijui tutaiepeuka vipi.Nadhani kila mtu anakiwango cha ubinafsi ila tumezidiana.Kwa maana yako ya Upendo ni kujitoa basi Upendo duniani ni muujiza...Note:Bible imesema hata unaweza ukajitoa lakn ikawa bado sio upendo...1kor 13Upendo ni kujitoa kwa ajili ya mwingine
Ok. Selfishness sijui nani kaiepuka na sijui tutaiepeuka vipi.Nadhani kila mtu anakiwango cha ubinafsi ila tumezidiana.Kwa maana yako ya Upendo ni kujitoa basi Upendo duniani ni muujiza...Note:Bible imesema hata unaweza ukajitoa lakn ikawa bado sio upendo...1kor 13
Nimekubali.Ahsantezion Doughter ,Upendo ni hali au hisia ya kumkubali mtu bila masharti(sio mapenzi)'Kumkubali mtu bila masharti kuna maana ya kumkubali kwa kuwa ni binadamu tu.'Yaani kuishi na binadamu wenzetu bila kubaguana kwa vivuli vya ndugu,rafiki,maskini,tajiri,mweupe,mweusi n.k.'Yaani unapomwangalia mtu unauona ubinadamu wake na sio pesa,rangi,n.k.'Kwa kifupi huo ndio upendo binti sayuni!
Mapenzi yangu kwangu bado hayajaisha coz tunapendana na kuheshimiana na mwenzi wangu.
Cha msingi ni kuliendeleza penzi letu ili liweze kustawi kwa hali ya juu, japo kuna watu wanapanga kulishambulia or kulipulizia dawa ambayo sio nzuri ili lisiweze kumea na kuzaa matunda mazuri ambayo kila mtu akiyaona atakubali yaliomo kati yetu.
Ingawa yanatokea yote haya ila bado Mwenyezi Mungu anatupigania na kutulinda kwa wale watu wabaya kama sio wazushi, maisha yanaendelea vizuri na mafanikio yanaanza kuonekana, japo sio saaana ila kidogo tumepiga hatua.