Wacha wee bibi wa mahaba.Mie tenaaa....
Kila leo nna pishi jipya la mchele....
Michele yote inapepetwa kuanzia mdundiko, kitumbo, wa Mbeya, basmati hadi VIP.....
Zege halilali....
Nenda kasahihishe mitahani huko...I and me ....Why not I and Romeo instead of writing me and Romeo?
Nani amekuambia anasahihisha mkuu? Unaniataki kwa chuki utadhani nilikuuliza wewe? Mimi nataka kujifunza na ndo maana nikauliza swali, wewe unaleta stress zako kwangu,jifunze kuwa positive kwa michango ya wenzako,mitandaoni sio mahali pa kuletea stress za ugumu wako wa maisha mkuu,Bali ni sehemu ya kupunguza mawazoNenda kasahihishe mitahani huko...I and me ....
.Nani amekuambia anasahihisha mkuu? Unaniataki kwa chuki utadhani nilikuuliza wewe? Mimi nataka kujifunza na ndo maana nikauliza swali, wewe unaleta stress zako kwangu,jifunze kuwa positive kwa michango ya wenzako,mitandaoni sio mahali pa kuletea stress za ugumu wako wa maisha mkuu,Bali ni sehemu ya kupunguza mawazo
Badili mtazamo wako mpendwa.
Kesie matata..hiyo ni mboga gani?... Maana naona viongo vya mboga TU...au Ni mboga ya bilinganya...au Ni kachumbari...
Au ndo inatwa stirfrie