When Kasie is Deeply and Madly in Love 🥰

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,213
36,195
Ooh Casanoovaaaa.....

Me and Romeo and Sarah and James......

Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!

Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh...

Ni vile nimemeng’enywa kama mpiga gitaa anavyolihimili gitaa lake kiunoni au tumboni au magotini (akiwa amekaa) na kutoa miito inayofanya macho yarembuke, midomo na mashavu yatabasamu na kulegea kama mlenda.

Keeuuwiiiiiii mahaba hayaaa, hadi nahisi sukari imepitiliza mwilini kwa utamu ninaoupata.....

Si mara zote utanikuta jikoni nakorofisha, ila nikiguswa penyewe.....

Ni shaaaaah, utamu kunoga sukari, kitu na meza, chumvi kwa mbalii, ndimu kwa mbalii 😜.

Najua wajuzi wa mapishi wako wengi, ila vile nikipika huku nimegibikwa na mahaba.....

Matokeo ya mapishi nayasikilizia uwanjani 😋😋😋

7F1318C4-3A3C-4EFB-8A29-889701C2A527.jpeg


Biso na biso diko la diko 😋😋😋😋

2E24A4F5-75A4-446A-9604-FF026DC69F9D.jpeg


Walau mshibe kwa picha 😋.

Ila nimeng’atwaje vidolee, pamoja na kuweka umma na kisu Ila mtu kataka kulishwa na mkono.....

Watu wanajua kudeekaaaa....!

Mahaba Matata 😉.
 
Mumeo anakula mema ya nchi MAAN sio kwa un@vyo jitahid kumhend mpaka na shawishik kuingia katika mahusiano
 
Aahhahhahaaa huwezi amini, huu wimbo sijawahi usikia mwanzo mwisho zaidi ya kwenye matangazo ni chorus tuu...

Wala hata kuangalia video yake sijawahi.
Ni wimbo mzuri.ila niwe mkweli tu..video yake haijanivutia sana kama ile video clip aliyokuwa amevaa kinguo cheupe sio ni tiktok ama nini.

Kupendana raha sna aise.🥰🥰🥰

Kula maisha mamaa kasie🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Mumeo anakula mema ya nchi MAAN sio kwa un@vyo jitahid kumhend mpaka na shawishik kuingia katika mahusiano

Na anavyojua kudeka sasa....!!!!

Wema mdekezaji kampata na mahaba kedekede ahahaahahaaa.

Thanks 🙏 on behalf, but get in there at your own risk 😜.
 
Back
Top Bottom