When Kasie is Deeply and Madly in Love 🥰

When Kasie is Deeply and Madly in Love 🥰

Hahaha wabich wa sasaiv wasumbuf kwel bora wazee

Acha uvivu, sasa hawa waschana vijana nani atawakaza hadi watulie.

Wazee shurti wakaze wazee wenzao.....
Mambo ya bakulutu, taratibuu bila jasho wala kuumizana na utamu palepale 😅
 
Ooh Casanoovaaaa.....

Me and Romeo and Sarah and James......

Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!

Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh...

Ni vile nimemeng’enywa kama mpiga gitaa anavyolihimili gitaa lake kiunoni au tumboni au magotini (akiwa amekaa) na kutoa miito inayofanya macho yarembuke, midomo na mashavu yatabasamu na kulegea kama mlenda.

Keeuuwiiiiiii mahaba hayaaa, hadi nahisi sukari imepitiliza mwilini kwa utamu ninaoupata.....

Si mara zote utanikuta jikoni nakorofisha, ila nikiguswa penyewe.....

Ni shaaaaah, utamu kunoga sukari, kitu na meza, chumvi kwa mbalii, ndimu kwa mbalii [emoji12].

Najua wajuzi wa mapishi wako wengi, ila vile nikipika huku nimegibikwa na mahaba.....

Matokeo ya mapishi nayasikilizia uwanjani [emoji39][emoji39][emoji39]

View attachment 1708725

Biso na biso diko la diko [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

View attachment 1708724

Walau mshibe kwa picha [emoji39].

Ila nimeng’atwaje vidolee, pamoja na kuweka umma na kisu Ila mtu kataka kulishwa na mkono.....

Watu wanajua kudeekaaaa....!

Mahaba Matata [emoji6].
I love you
 
Anahitaji maombi na upako huyu Kasie ni shiida 🙂

Tuombe koona ikimbie TZ upako wa afya tele na furaha kwa wananchi uwe pomoni na wote tuishi kama peponi aka tuwe matajiri.

Maombi yako mengi sana, why kuombea Mahaba jamani wakati ndo burudiko la wanaume....!

Au mmesahau kuwa maua ndo asili ya asali...???!
Ona sasa nyuki wanavohaha kila ua wanataka kulichavuga....🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Maua mengine yanathumu 😆😆😆😆🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Bibi kipendhii ulipotelea wapi? [emoji7][emoji7][emoji7]
Mahaba ktk ubora wake.

Mie tenaaa....

Kila leo nna pishi jipya la mchele....😋😋😋

Michele yote inapepetwa kuanzia mdundiko, kitumbo, wa Mbeya, basmati hadi VIP.....

Zege halilali....😜
 
Baby wako wa leo kwa pishi ilo ni mhogo au bamia😅😅😅


Aaahahhahahahaaaa

Mahabuba wangu keshacheua saa hizi anachokoa vinasa meno kisha asukutue tukalale.....

Siri ya kata aijuaye mtungi...

Ukitaka uhondo wa ngoma...... uingie ucheze.
 

Right back at you....!!

A million times American budget...

*** you....

😆😆😆😆😆😆😆

Nyakoonyakoonyakooooo

Nyakoonyakooo konyaaaaaaaa....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom