When Karma comes calling, she stings like a bitch

Better safe than sorry.

Clara ashukuru Mungu alifukuzwa kabisa maana angeendelea kuwepo sasa hivi ungekuwa unamuuguza na kumpa matumaini. Ona sasa maisha yake yamekuwa mazuri, probably better than before. Pole kwa huyo jamaa aliyelipwa hapa hapa.
I always like looking at the better side of a story.

I like your view.

Life gives you lemons, squueze 'em, makes yourself some lemonade.
 
Malipo ni hapahapa duniani,kweli ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho,Hongera

Karucee kwa wema uliofanya hakika utalipwa na Bwana.
 
Last edited by a moderator:
Malipo ni hapahapa duniani,kweli ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho,Hongera

Karucee kwa wema uliofanya hakika utalipwa na Bwana.

Furaha ya kuwaona hao watoto we acha tu. Halafu wapo so bright. Nikienda visiting every first Sunday of the month am so proud of their performance in class.
 
naitamani stori niielewe lakini patupu dah!
kidhungu shida sana bora zije serikali tatu labda mambo yatakua kiswahili kila sehem maana serikali mbili imeshindwa, moja ya kikoloni ndio kabisa....

Pole jamani weeeee.
 
Karma ndio nini Karucee? Wengine hatukuzaliwa Bombay. Halafu anayesema michepuko sio dili naye anachepuka! Kwahiyo hapo labda useme kuacha mke au mme sio dili ntakuelewa. Mengine ni story za luninga tu.
 
Last edited by a moderator:
Karma ndio nini Karucee? Wengine hatukuzaliwa Bombay. Halafu anayesema michepuko sio dili naye anachepuka! Kwahiyo hapo labda useme kuacha mke au mme sio dili ntakuelewa. Mengine ni story za luninga tu.

Karma ni malipo tunayopata kutokana na matendo yetu. Umenichekesha eti Bombay.
 
That's the bitter truth Babu.

I miss you.

Regards to my Bibi.:wave:

Hahahahahahahahah,

Haya bwana....Babu na bibi ni wazima.....

Pensheni ndiyo inatupelekesha....

Kama unammiss Babu mbona ulimkimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…