When Karma comes calling, she stings like a bitch

Mengine huwa tunaepushwa bila kujua ingawaje siku zote hutuumiza na baadaye sana tunaiona heri hii. Huyo dada maisha ya ugonjwa na huyo baba hakustahili kwa shari ameyaepuka
 
I get your picture crystle clear
Albeit am trying not to look it from one side only.

I want to assume that was not his intention, rather he was forced unto it unknowingly say by witchcraft. Whats your reaction? If I base my judgement on that how far am I from the purpoted truth?
 
Better safe than sorry.

Clara ashukuru Mungu alifukuzwa kabisa maana angeendelea kuwepo sasa hivi ungekuwa unamuuguza na kumpa matumaini. Ona sasa maisha yake yamekuwa mazuri, probably better than before. Pole kwa huyo jamaa aliyelipwa hapa hapa.
 

Ndio maana watu wanaambiwa wasichepuke. So many things can happen, BAD THINGS. Mwanamke hawezi kukuloga uwe nae,utelekeze familia kama hujajiweka kwenye nafasi ya yeye kuweza kufanikisha hayo. Tulia, tulizana na mabaya utayasikia kwa wengine au bahati mbaya kama mwenzi atakuwa kiruka njia. Ila kuchepuka ni risky sana na matokeo kwa asilimia kubwa huleta majuto.
 
Uki specify hivyo unatuonea sie wanaume, "baadhi yetu binadamu haturidhiki hata tufanyiwe kitu gani"
miss, usitake kuniambia matukio haya wahanga ni wanawake tu.

hata wahanga wanaume wapo uzuri wa mwanaume mara zote hata akiwa mhanga hatetereki kiuchumi na watoto wataendelea kupata basic needs zote lakini mwanamke ukute ndo alikuwa mama wa nyumbani na akisusiwa na watoto pata picha
 
Mara nyingi unakua bewitched unapoanzisha uhusiano nao . Kama angetulia njia kuu haya yasingemkuta manake angekula alichopikiwa na mkewe huo uwanga usingempata. Tumeambiwa tamaa huzaa dhambi na dhambi huzaa mauti. Yaani huyo baba anasikitisha sana aisee, thank God watoto walipata malaika wa kuwatunza.
 
naitamani stori niielewe lakini patupu dah!
kidhungu shida sana bora zije serikali tatu labda mambo yatakua kiswahili kila sehem maana serikali mbili imeshindwa, moja ya kikoloni ndio kabisa....
 
Ubarikiwe Lizzy.
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu na afahamu neno hili.
 

Nami nilikuwa najisemea...though sometimes the karma takes toooo long, ina maana kuna updated version ya karma?
 
Yap malipo hapahapa duniani in every action there is equal and opposite in direction.
 
Ndoa ni muungano wa hiari.....na sio kosa muungano huo ukifika tamati....hakuna apasae kuhukumu ndoa ya wawili kuvunjika!!!!
Narudia sio kosa kuachana!!!!!


Kwa mujibu Wa Imani yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…