When Karma comes calling, she stings like a bitch

ujumbe mzuri sana unahudhunisha sijui kwanini wanaume hawaridhikagi utamfanyia yote lakini mwisho wa siku atakuacha katika wakati mgumu cha kushangaza wanachepuka na makahaba
 
ujumbe mzuri sana unahudhunisha sijui kwanini wanaume hawaridhikagi utamfanyia yote lakini mwisho wa siku atakuacha katika wakati mgumu cha kushangaza wanachepuka na makahaba

Uki specify hivyo unatuonea sie wanaume, "baadhi yetu binadamu haturidhiki hata tufanyiwe kitu gani"
miss, usitake kuniambia matukio haya wahanga ni wanawake tu.
 
Nimeguswa!, haswa ulipoitaja karma!.
Pasco
 
Inafundisha na inahuzunisha pia,Mungu asimamie tu ndoa za wanandoa na awasaidie kuona umuhimu wa kubaki njia kuu na awawezeshe waweze kubaki na kuheshimu na kuzifurahia njia kuu walizopewa na Mungu
 
UFAFANUZI WA ''KARMA'' inaendana kidogo na neno Fate au Destiny

Hili neno lililotoholewa kutoka kwenye madhehebu ya Hindu na Buddha likimaanisha HATIMA aifikiayo mtu kama matunda au matokeo ya matendo yake. Wanaamini kwa kila TENDO mtu ulifanyalo unatengeneza nguvu flani (force) ambayo baadae kuamua hali yako itakavyokuwa kutokana na hayo matendo yako ya sasa. Kama umetenda mema utavuna hivyo kama umetenda mabaya nayo utavuna ulichopanda.

Hio nguvu au hicho kinachoamua hayo matokeo ndio KARMA

cc PLL, Mndengereko @Eli79
 
Last edited by a moderator:
Well....well!!
Pole kwa this 'bad' dude...alikosa....alikosa...ila sio kosa kumwacha mke....kosa kutelekeza familia!!!
It just happened. Just like that. The marriage you have been building with sweat blood and tears ends just like that and you don't see it coming.
 
Hapana chezea
Karma ni kiboko, na mara nyingi huwa hivyo.

Umepatiaje wangu?
Yes, from my experience.
Hmm! Interesting,we have got to keep our eyes wide open! otherwise,Hell breaks loose....! inafundisha na kuburidisha lol...did you take it from somewhere?
 

Buddy,

I like to believe that even when a man strays, if he is a God fearing one he will do it discreetly. I wil not go ahead to say thet if he were God fearing in the first place he wouldn't stray, but that he will cover his tracks so the wife never gets wind of what he is doing.

In this particular case, if love no longer existed in his heart, then he should have ended the relationship discreetly. Even Mother Nature would have given him some benefit of doubt while paying back.

But you throw away a decade of love down the drain just like that?

Oh you have it coming and it aint gonna be pleasant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…