When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

Du kumbe hata BBC nao wanachemka ngeli??

"Ms Michael - also an actor,
known as "Lulu".
 
JF is a reliable sourse of information!! I do not trust any Tanzanian mainstream media!!

Ninakula kiapo kuwa sitaleta habari za uzushi, uzandiki, uchochezi ndani ya JF kama sina habari wala mchango wowote ntachungulia na kupita kimyakimya!!

JF Rocks!!:rockon:
 
Inaelekea hujui hata maana ya JF member,
hili ni free forum yeyote anaweza kuwa member, kuna wabunge, madaktari,waandishi wa habari , wanafunzi na wengineo humu. sioni ajabu na lililokushangaza wewe hasa nini? Mungu tuepushe na watu hawa!
 
Inaelekea hujui hata maana ya JF member,
hili ni free forum yeyote anaweza kuwa member, kuna wabunge, madaktari,waandishi wa habari , wanafunzi na wengineo humu. sioni ajabu na lililokushangaza wewe hasa nini? Mungu tuepushe na watu hawa!
Usisahau wabeba maboksi na watawazaji.
 
Pat on the back is well deserved, but lest we forget that the biggest room in the world is room for improvement. Let's collaborate to make JF better and even more relevant for all.
 
Mod, walime bill BBC chap chap! Au mna MOU?

Kiuandishi angalau wame dedicate source. Ingekuwa ameipachika bila kutaja source ingebidi walimwe. Haya ya kwetu huwa wanajipachikia tu.
 
Habari zikitoa source JF natilia shaka umahiri wa muandishi.
 
Ni jambo zuri kama jf inakubalika hivyo
 
JF ni zaidi ya habari, laiti tungejuwa reputation yake tungejiheshimu na kuheshimiana zaidi......I mean tuwe na utamaduni wa kuheshimu mawazo yanayotofautiana na yako na kupinga kwa kutumia hoja.
 
tuko juu ndio maana wanatumia habari zetu!
 
Mimi najf, jf na mimi, yani huwa hata nikiwa usingizini naiota jf! Nimebadilika sana kimawazo na kimtazamo baada ya kujiunga na jf! Hapa ndo nyumbani kwangu, hanitoi mtu! Jf forever!
 

Lakini kumbuka kuwa haohao repoters ni member humu na huwa wanaleta picha pia!! Kwa hiyo usishangae kuwa Member aliamua kutuma data humu kabla ya kumpelekea mwajiri wake. Taifa Kwanza..................!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…