Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,989
I have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor
Mkuu Kitila Mkumbo, kiukweli jf inaheshimika sana tuu. Kuna issue niliwahi kuipost humu jf, kesho yake ikashushwa front page ya gazeti fulani "para material" bila kubadili kitu!.I have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor
Nadhani sasa tukubaliane kwamba JF imekuwa chanzo kikuu cha taarifa tunazipata kabla ya wananchi wengi na vyombo vingi kutangaza au kuandika ,Bravo JF members.mods and owners
Ukiaminiwa, jiaminishe, as jf members tuna jukumu la kui maitain hii reputation kwa kumaitain truthfulness, objectivity, impartiality na balancing kwenye issues tunazoshusha humu jf.