When i need you!

Teh hivi ulifanikiwa kupata ile kitu jana?
Sikuweza kwenda jana, leo nimemtuma dogo kakosa eti wanaacha namba za simu siku zikija watapigiwa lol...siku yenyewe wala haijulikani!
 
Sikuweza kwenda jana, leo nimemtuma dogo kakosa eti wanaacha namba za simu siku zikija watapigiwa lol...siku yenyewe wala haijulikani!
Hahahahaa pole mwaya...
Wakikuzingua unambie nikufanyie mchakato faster
 
Vipi umeshalala Kipipi?. Ukilala lala salama, kumbatia avator yangu. g9t n blessed ka ushalala.

Sasa hivi ndo nataka kulala, nilikuwa nacheck ball kwanza! Well....nakutakia njozi njema!
 
Last edited by a moderator:
Salam zangu za dhati ya moyo wangu asubuhi hii zinakuja kwenu nyote, mie mzima hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu.............
TANMO............Good morning
Erickb52.........guten Morgen
SL.............bonjour
AshaDii.........صباح الخير
Kipipi......... Ng'wangaluka
Cantalisia..........buenos días


Na wengineo woooote ..........早安
 
Kwezi, habari za?
 
Sasa hivi ndo nataka kulala, nilikuwa nacheck ball kwanza! Well....nakutakia njozi njema!

chelthiii tumethinda, thatha Kipipi, mbona umethindwa kutupa hongera yetu thithi chelthiii? acha idho bana..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…