Yesu wangu inakuwaje kama mnashikana yale magauni yenu makubwa! Halafu habari zisizo rasmi zinasema huwa hamvai vile viguo vya ndani!Bora kuchekana hapo mnaashiria furaha,
Kuna wengine wa moods za ajabu unaweza ukamsalimia asiitike aishie kukusonya!!!
Hakuna kushikana hapo ni misonyo tu au kuhama siti basi,Yesu wangu inakuwaje kama mnashikana yale magauni yenu makubwa! Halafu habari zisizo rasmi zinasema huwa hamvai vile viguo vya ndani!
Nani huyo, Cantalisia?
Hahaha hahha hahaha,Haaaa haya bhana utakuwa unatupa mwendelezo maana chako hicho bado kichanga unavaa na jeans
Hahaha hahaha hahaha,hata cantalisia analipa. mtoto kipotabo.
Nzuri M' Jr, ya kwako je?Ey Sweetlady, habari ya kwako?
Lol...mbona hujabadili sasa?Ya kwangu poa kabisa, i missed that...