Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Na mie pia shem,ila ndio km hivo siku hazifanani mpaka naadimika!Shem mi mzima kabisa ila Amy sijamuona tangu asubuhi....alikuwa na kikao na wageni kazini kwake....
Nimekumiss sana shem
Hahahahaaa hope mtoto hatakuwa na ka pua karefu kama ka baba ake....Lol!Hahaha hahaha,yani ndio unanicheka ivo?
Japo inasumbua but nafurahia ndoa yangu kujibu,
Mda si mrefu Rejao ataitwa baba lol!
Kwenu huko baridi haijaleta madhara?
Hahahahahaaaa wape nafasi wao wenyewe watafute jina la hicho chama chao kipyaHahahahaaa tunaanza kuwapa vyeo kwenye chama chao kipya hicho, Cantalisia ndio FOUNDER aka mwenye mali
Heheheheheee hongera sana....Na mie pia shem,ila ndio km hivo siku hazifanani mpaka naadimika!
Nyie mnanicheka wakati hilo ni jambo la heri jaman!
Dah! age nilokua nakuplace nilikua naku over estimate... naona Avatar hua
yanidanganya....lol. Kama lyrics za Celline ulikua Form two.....
Habari yako Musimo jr?
BTW I love the song, imenifanya nikumbuke "It is all coming back to me now" wa Celline.
Yani nitafurahi sana akitoka na bonge la jipua maana baba yake atafurahi sana!Hahahahaaa hope mtoto hatakuwa na ka pua karefu kama ka baba ake....Lol!
Huku watu wote wame celibate sijui ndio linavyoandikwa hilo neno?
Heheheheheee hongera sana....
Baadae unitafute nikupe hongera zako kwa kazi nzuri
Kumpata huyo sio mchezo atii lolKwa kazi ipi Shem?
Nzuri Da AshaDii, habari ya siku nyingi?Dah! age nilokua nakuplace nilikua naku over estimate... naona Avatar hua
yanidanganya....lol. Kama lyrics za Celline ulikua Form two.....
Habari yako Musimo jr?
BTW I love the song, imenifanya nikumbuke "It is all coming back to me now" wa Celline.
Si nilijidai nagawa dozi kutwa mara 3,Kumpata huyo sio mchezo atii lol
Inataka kukomaa na kugangamala sana
Hahhahahahahaaa
Lina maana watu wameamua hata kama kuna baridi namna gani njia pekee ya kujilinda ni kuvaa makoti na kujifunika mablanketi sio yale yanayosababisha kuingia kwenye chama chakoYani nitafurahi sana akitoka na bonge la jipua maana baba yake atafurahi sana!
Hilo neno lako hapowala sijalielewa kbs!
Hahahahaaa haya nami ntakupa zawadi naiandaa hapa.......Si nilijidai nagawa dozi kutwa mara 3,
Haya ndio matokeo yenyewe,na si mchezo!!!
Fanya unipe hiyo zawadi mapema lol!
Hahaha hahah hahha,Lina maana watu wameamua hata kama kuna baridi namna gani njia pekee ya kujilinda ni kuvaa makoti na kujifunika mablanketi sio yale yanayosababisha kuingia kwenye chama chako
Ngoja kwanza nikusanye meba kwanza tukitimia 3 au 4,Hahahahaaa haya anzeni kutafuta jina la chama chenu mama
Naisubiri zawadi kawa hamu jaman,kwan si mchezo atiii!Hahahahaaa haya nami ntakupa zawadi naiandaa hapa.......
Najua kuna wenzio watajiunga muda si mrefu...........kongosho where are u?
Inabidi uweke matangazo ili wajitokeze mi ntakusaidia kupita mtaani na vile vipaza sauti vya kutangazia dawa ya mende ili kutangaza upate member wapyaNaisubiri zawadi kawa hamu jaman,kwan si mchezo atiii!
Nipo nasubiri wanachama waje yuunde umoja wetu na kusajili chama!
Hahahah hahha hahah,Inabidi uweke matangazo ili wajitokeze mi ntakusaidia kupita mtaani na vile vipaza sauti vya kutangazia dawa ya mende ili kutangaza upate member wapya
Bora kuchekana hapo mnaashiria furaha,Halafu mnachekana, we tumbo lako kubwa sana kuliko la kwangu eeh?