Ingawa ni vigumu kwangu kukumbuka tarehe pamoja na mwaka ambapo rushwa ilianza kuonekana kama utaratibu wa kawaida wakujiongezea kipato,hata hivyo nakumbuka hali hiyo ilianza kujitokeza baada ya watu wengi kuwa na hisia kwamba hata mwenye nyumba anashiriki kwenye mchezo huo.