When a Woman Love

Swali la kike Sana..
Aahhh Mkuu bana unamambo kumbe .. bila maswali kama haya, utajuaje Jolie Jolie hana chake ??


Ila wee bana ndo km mchawi vile, ukafanya Jamaa ampige chini Jolie wa watu ( bidada na mbwembwe zake zotee ).



Nakumbuka vile ulivokua unamuita Jolie "Wifi ,, My Dada ,Kipenzi ,Mdogo angu"... Ila kumbe unapanga Majeshi ??


Mmhhh wanawake hampendani.
 
Umenifananisha
 
Duuuhhh Mkuu mara hiii umeshasahau ?? hata ukienda kwa nyuz za Jolie Jolie akat anambebisha Hazard , utakuta koment zako kwa Jolie, ndio sababu ukawa unamuita ndugu yangu Hazard CFC Kaka..kumbe ulimanisha Bro-Baby?
Umenifananisha
Tuachane nahayo, unajua Leo weekend eeehhh..........

Na simba kampiga Lipuli 1-0 , dakika ya 23 Boccoooooo wayaaa !!!!....
 
Hapana nitaacha pombe lakini siyo kugusana
..lakini bidada libido yako imepungua? Unajua sie vidume tunakuwa na inferiority za kutosha hasa kama tukishindwa kuwapandisha wenza wetu kibo
 
Hahaha umeitendea haki jioni yangu. Kumbe nawe umo éh, unajua kuna watu ukiwasoma unaweza hisi they're so serious kiasi kwamba kunako 6x6 hawana mda nako
Goooshhhhh, I am laughing so hard.
Ndio mimi naonekana hivo Eli? That I am way too serious ?.
 
Katafute Lumumba huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…