Hahahaa wacha waseme babe..Asante babe...
Love u moreee siunajauga venye sibakishagi maupendo hua natoa yotee hadi yanakwisha...
Hofu yangu walimwengu watasema ni ID moja hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa hatarree
Sio walimwengu tu, Bali wanataka kujua Jolie Jolie , yuko wapi?.Asante babe...
Love u moreee siunajauga venye sibakishagi maupendo hua natoa yotee hadi yanakwisha...
Hofu yangu walimwengu watasema ni ID moja hii
Sent using Jamii Forums mobile app
π Tumefika wanga wenyewe tusioua kwa siraha ila maneno.. naanza namna hiiWanga wenzangu mko wapi? We've got a fresh fish to fry. Kujeni
Hahahaaaaaa nimecheka kifala Yani...π Tumefika wanga wenyewe tusioua kwa siraha ila maneno.. naanza namna hii
Kwako mweka mada
Mpende akutende,mguu uote tende
Tena kwetu wapambe,abadani tukuchambe!
Na vile ulivyo mzembe,utamuacha akutende
Sisi yetu pombe,wewe lako tende!
Wanga tutakuwangia,tusilipwe hata lupia
Tena tutakufanyia,asilani hutomsikia!
Jitweze mahabani,yakukute mbeleni
Mpe ya sirini,akuvuruge taabani!
Muite wa mahaba,akupe msiba
Akujaze kibaba,uanze kuiba!
Wanga wa wahanga,nimekulia yamini
Manyanga na vimbwanga,havikutoki mwilini!
Mipango nimepanga,yatakutoka mapunyeni
Mimi ndio mwanga,wa mahaba habaduni..π
Anaweza asikuue ila maneno yake yanaweza zalisha kirusi Kama corona kitakacho kuja hapo utajuta!!Hahahaaaaaa nimecheka kifala Yani...
Kuna mtu anaeza kukuua kwa maneno