When a woman is fed up...

Nguli, dada hajazidiwa huyo! In fact a style could be created ou of those fences!
 
OMG nilifikiri itakufunza usibanie mzee kumbe ndiouinakufungua macho? mh tumekwisha....Kaizer kazi unayo.

Hahaha! Kwa mpwa Kaizer hapo nyamayao ni kama anajidangaya! Yule mtu ni mbunifu bana!
 
huo pia ni ubunifu kwa upande wake lakini kama mnavojua hakishindwagi kitu hapo,,, tena kwa mazingira hayo nadhani unajihisi upo on top of the world, inweza kuwa njia ya kuhuisha penzi la zamani lol! Manake unakula kwa uchungu kweli
 
Na ndo dawa hiyo...ukiona out hutolewi kula biti. Utamuona mwenyewe huyooooo.
 
Umenichekesha sana...unanikumbusha tukio moja la namna hii lilisabababisha second born azaliwe exactly miezi 12 baada ya first born! maana baada ya mgomo jamaa akafanya maandamano ya amani mpaka ikulu... "wapatanishi" wakaitwa kilichofuata ni mahudhurio kwa Prof Mgaya na baadae kwa Prof Massawe... akina dada muwe makini na strategy hii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom