Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
When a woman is attracted to a man,
she speaks in a higher pitch than normal
Ya kweli hayo??
When a woman is attracted to a man,
she speaks in a higher pitch than normal
Dahh hivi viumbe vinapenda kupita kiasi, ndio maana wanaumiaMimi niliwahi kutonywa kwamba msichana fulani huwa anasema kuwa ananipenda sana,
Basi siku ya siku nikamuita msichana mwenyewe halafu nikaanza kumuulizia ulizia, I see I felt pity for the lady, actually abnormal, alivyokuwa anachezesha chezesha miguu na mikono utafikiri ana present ngonjera, it's true the voice was high pitched than normal.
seen,naamini ni bahati mbayaduh she can do things that u hve never saw, na wakati mwingine wao ndo chanzo cha wao kuliwa
mabwaku
Ni kweli si mkipata mnachokitaka mnasepaDahh hivi viumbe vinapenda kupita kiasi, ndio maana wanaumia
sana wakiachwa, utawasikia wakisema "kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka..."
Ya kweli hayo??