YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Who knows? May be he is Lewis Makame :tape:Makame,
kwa nini uko nyuma ya uovu kwa kuutetea? ama wewe ni mmoja wa wadhalimu?
Who knows? May be he is Lewis Makame :tape:Makame,
kwa nini uko nyuma ya uovu kwa kuutetea? ama wewe ni mmoja wa wadhalimu?
Naongelea utaratibu wa huru na haki tulioweka na tulioufuata.
1. Mawakala wameshiriki.
2. Wagombea wameshiriki
3. Observers wameshiri
ripoti ya observers inasema uchaguzi ni huru na haki
sasa huo wizi unatokea wapi kama sio kuzua yasiyokuwepo?
Dr slaa alianza kuonyesha dalili za uchochezi tanguu alipokuwa kwenye kampeni, alipoleta msamiati wa kuchakachua. Hapajachakachuliwa kitu; ccm ingeamua kuchakachua isingeachi majiji ya mwanza na arusha. Jamani, tuheshimu uamuzi wa watanzania.
Hizi ndio fikra za watu wasioheshimu kura.
Tumeweka utaratibu.
Tumesshiriki.
Tumemaliza.
Tunakataa.
Tungeshinda tusingetoa shutuma.
Hata usalama wametutanabahisha kuwa chadema wanapenda kutumia uongo kwa propaganda
Wakuu zangu mimi naamini kabisa kulikuwepo na uchakachuaji mkubwa sana kiasi kwamba hata kwa kufikiria tu haileti maana..
Ebu tazameni hili:- Katika uchaguzi wa mwaka 2005, matokeo yalikuwa haya..
Kikwete alishinda kwa kura 9,123,952 sawa na asilimilia 80.28, Lipumba (CUF) kura 1,327,125 sawa na asilimia 11.68, Chadema iliyowakilishwa na Freeman Mbowe kura 668,756 sawa na asilimia 5.88 na TLP kupitia Augustine Mrema kura 84,901 sawa na asilimia 0.75. NCCR-Mageuzi iligombea kiti hicho kupitia Sengondo Mvungi aliyepata kura 55,819 sawa na 0.49, Christopher Mtikila wa DP kura 31,083 sawa na 0.27 na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD) kura 21,574 sawa na 0.19.
JUMLA ya Kura zote zilikuwa 11,313,210, ukijumlisha hapo juu, leo kweli mtu anaweza kunambia ati mwaka huu 2010 kumekuwa na wapigakura wachache kuliko mwaka 2005?..hii kweli inaingia akilini?..tena baada ya vitambulisho vya kupigakura kuwa ni kitambulisho muhimu sana ktk shughuli nyingi sana za usajili kitaifa leo tunaambia ati kati ya waliojiandikisha millioni 20 wamejitokeza tu millioni 8 na ushee..asilimia ndogo kuliko uchaguzi wowote ulowahi kutokea nchini!...
Jamani hata kama NEC wanataka kuchakachua basi sio hivyo huwezi kuua kura zaidi ya millioni 5 ili mradi mtu fulani ashinde...
There are those people, who thought that CCM will relinquish power on a platter, they were wrong. They never knew that CCM thugs are used to power and they will do anything possible under the sun to remain in power warning the Americans and British colonial masters not to interfere despite the opposition crying foul.
Never in the history of this country had the majority of people voted for the opposition in the country regarded as the haven of peace, time will tell what will happen next.
Jakaya Kikwete is in dilemma because he knows and the majority knew time is up for him and his party. He might not survive the full 5 year term as he has gone into the path where nobody dared to go. He will need all the support from his close friends whom he thinks will help him including his own son who wields a lot of power within the inner circle but ridiculed by scholars as a failure. The people of Tanzania spoke with their votes, now its time for action to those who can read between the lines. The damage has been done and a lot of Tanzanians will never trust this Government for a very very long time to come. The people will know that they're on their own and should do anything possible to survive and fight the foreign occupation in the name of EAC. The worth of this country is given just like tokens to those chosen by Jakaya Kikwete and his thugs, no wonder his campaign was feigned by his wife, cousins, chickens, cows and his children but not the party.
What will happen next is anybody's guess, but people aren't stupid and time will tell who the real winners are.
hivi kura zilizoibiwa ni ngapi? naona kuna vitu vinanichanganya eti Raisi alipaswa awe wa Chadema ina maana kura zilizoibiwa ni zaidi ya million 3? na wabunge walioibiwa ni wangapi? ni wote waliogombea kupitia Chadema? kama kuna baadhi ya data ni vizuri tuzijadili ili kuwa realistic
PRESIDENT Jakaya Kikwete has asked African politicians to develop a culture of accepting defeat during elections.