Wanaobeba cement wanafanya hayoNi sahihi mkuu, ila sio kwa wanawake wa kizazi hiki! Nikabebe masimenti kuitafta elfu 20 yangu halafu niende kumnunulia malaya viatu kirahisi tu hivyo!
Labda awe amenizalia watoto naishi nae kama wife.
Hongera zao kwa kweli! Mie sifanyi huo upuuzi kamweWanaobeba cement wanafanya hayo
HujafallHongera zao kwa kweli! Mie sifanyi huo upuuzi kamwe
Mkuu, mtajwa hapo juu anaweza kuwa mama wa wanao?😅niende kumnunulia malaya viatu kirahisi tu hivyo!
Labda awe amenizalia watoto naishi nae kama wife.
Hata ni fall vipi aisee! Women are tricks these days, una click nae now after a couple of hours ana click na mwenzio!Hujafall
Akiwa mama wa wanangu ni mzazi mwenzangu huyo namfanyia chochote hata ikibidi kuwa hamza wana usalama popote walipo ili tu yeye apate kufurahi😅Mkuu, mtajwa hapo juu anaweza kuwa mama wa wanao?😅
Narudia tena hujafall weweee.Hata ni fall vipi aisee! Women are tricks these days, una click nae now after a couple of hours ana click na mwenzio!
Muache tu abwabwaje hapahuyo siku akifall atatoa hadi figo