Inakuwezesha ku-mirror simu yako kwenye computer Laptop au desktop.
Unafanyeje:
》Fungua site ya Whatsapp web kwenye URL yako. au unaweza download application ya whatsapp web kwenye PC yako!!
》Itatokea kitu kama QR codes, nenda kwenye simu ifuate hiyo whatsaap web itatokea kama QR code reader ielekezee kwenye computer yako ili iscan na kuisoma ile QR code kwenye PC....itavibrate kwamba simu na PC zimeonana then utaweza kusoma kila msg ya whatsapp kwenye simu yako.
Kwenye simu unapapasa bila kuhangaika na "keyboard" au "mouse" na isitoshe hata sehemu ya faragha unaweza kuchat bila bughudha. Ebu fikiria "laptop" kutembea nayo ili uitumie kuchat tu!