Whatsup upgrade.

Whatsup upgrade.

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Habari wakuu,
Natumia sim aina ya nokia C-3 ni Wndow application.Toka jana whatsup imekataa kufungua,inaniandikia version ya whats up ime expire hivyo nifanye upgrade.
Kila niki minya button ya upgrade ina search lakini ina andika "This link is not found''
Nashindwa kuelewa tatizo nini?Labda ni configuration au lah?Tujuzane wakuu.
 
Nahic hilo tatizo lako inawezeka
Ime ime corupt au
Link ulio ekewa enternet yako ni ya kichina
Jaribu kwenda ukabadilishe
 
Tatizo hilo hulipata sana simu za Nokia, cha kufanya delete hiyo program then fungua opera mini kama unayo au browser yoyote iliyopo kwenye simu, ingia whatsapp page na download application kisha ifunge kwenye simu yako then you go.


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
sasa open playstore sear whatsapp then update i hope it work
 
Mi nawasikiliza tu mnavyobishana,hata msaada kwa jamaa mmeaacha kutoa.samahanini ulimi hauna mfupa.
 
Back
Top Bottom